Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,140
- 17,880
Sasa ni wapi ajali haitokei hapa duniani?Haya machuma chakavu huyanunua lifespan yake ikiwa tayari imeshapita hata ule muda wa kuwa recyclable
Tanzania huingizi hizi takataka TIA wakakuangalia, imagine lingeanguka toka angani kwenye slums au mkutano