Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839


hayo mambo dar tulishatoka kitambo,,naona wenzetu bado wapo local


hayo mambo dar tulishatoka kitambo,,naona wenzetu bado wapo localAibu😭😭woi mpaka namwonea huruma uyo mzungu,labda alikuliwa na akina Ichoboboy na Geza wakifikiri Ni Albino😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣



nimecheka kinomaNani anamchukia,Chuki Tuliwaachia nyie Bongolalaz🤣🤣🤣🤣🤣Kaka wanakuchukia sn Wakenya wa humu sema hawana uwezo wa kukujua![]()
👇👇👊 kudadeqMsikieni huyu mwehu, wkt yeye mwenyewe hajui kiswahili![]()
usiogope mzee ojwani,,,,,nimegundua watz hapa wanajua kenya ata kunishinda. sijaelewa bado?.but nadhani hawa ni wale wako kenya kibiashara hivi. nimeanza kuogopa. ntakua na cheza chini ya waba
Tanzanians watu hawaishi humu kwenye za aina hii, bongo mzee watu wanaishi ndoto zao, okay okay hii ni dodoma heb pitia hapa . . . Pita humu alafu ujifunze kitu, hii ni Dodoma uko alaf linganisha na maisha ya watu wenu wanaishi kwenye estates, tena uchwara kama hiz ulizopost weweDar Ni level nyingine wakati hamna majibu za gated communities za nairobi! Kazi ni kulialia hapa 'estate'! Nilikuambia organized gated communities zinapatikana in almost all major towns in Kenya. Look at Kisumu below kisha linganisha na zile chuma kavu za Dodoma
View attachment 1802499View attachment 1802500View attachment 1802501View attachment 1802502View attachment 1802503View attachment 1802505View attachment 1802506View attachment 1802508
Wakati nyinyi mnangoja serikali iwajengee chuma chakavu hapo Dodoma, hizi za Kisumu zinajengwa na private sector
Kwani unathani Nyinyi Ndio mnaotanga pekee hii Dunia😃Maajabu,eti kuishi ndoto zao!!!😂😂😂😂Tanzanians watu hawaishi humu kwenye za aina hii, bongo mzee watu wanaishi ndoto zao, okay okay hii ni dodoma heb pitia hapa . . . Pita humu alafu ujifunze kitu, hii ni Dodoma uko alaf linganisha na maisha ya watu wenu wanaishi kwenye estates, tena uchwara kama hiz ulizopost wewe
Akumbuke Kenya inampa nn, nyie watu ni mbwa kweli kweli yn nchi yako wewe aje kuitetea mzungujoe biden still remembers his connection with kenya and won't allow china to buy kenyaView attachment 1803038







Wikipedia ambayo mnakesha mkibadilisha maandishi, hv wewe hujisikii aibu






Wewe mgeni humu tulia, bado hujajua kwnn upo humu.nimegundua watz hapa wanajua kenya ata kunishinda. sijaelewa bado?.but nadhani hawa ni wale wako kenya kibiashara hivi. nimeanza kuogopa. ntakua na cheza chini ya waba
Hoja kwisha😁😁Wikipedia ambayo mnakesha mkibadilisha maandishi, hv wewe hujisikii aibu![]()
Kinyesi hicho, sijui wanapokipeleka ni wapi.?Ni kinyesi ama?
Mambo madogo sana hayoAm receiving reports farmers are laughing all the way to the bank, ngombe 1000 kwa siku, malipo within 72 hrsView attachment 1803002View attachment 1803004
Huu upuzi Magu hakuutaka,hivi ikitokea wameharibu watawajibishwa kweli? Nakumbuka kids cha ATCL na mke mmoja wa waziri flani,shirika lilikuwa haliendi kabisa!
Donkey owners 🤣🤣🤣