Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,866
- 19,252
Another one
Haya machuma chakavu huyanunua lifespan yake ikiwa tayari imeshapita hata ule muda wa kuwa recyclable
Tanzania huingizi hizi takataka TIA wakakuangalia, imagine lingeanguka toka angani kwenye slums au mkutano


cheki post zangu za mwanzoni utaelewa nina Mishe ghan huku Kenya sina ufahari wa kudanganya Nina post Hali halisi kama ilivyo kwenye ground