Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa wamarekani wanajiachia mitaa ya Dar utafkiri wapo New York vile

Hizi shots kama mbele 😅😅
Ila hapa Dar imewaka kichizi 😅😅

Nimemkuta huyu mkunya kwa AA mmoja amecomment hivyo,hawa AA ni kipimo kizuri sana kati ya TZ na kunyaland ipi nchi nzuri kuishi,TZ hatuna dual citizen,viza wanazoingia nazo hao AA zinawapasa kila baada ya miezi 3 watoke nje ya TZ na kurudi ili kupata visa mpya,tuna sheria mgeni aruhusiwi kumiliki ardhi,but hawa AA wamekubali yote hayo na wameunda community yao ikiiomba serikali mambo mengi tu,shida nenda sasa kwenye channel zao kule yt uone wakunya wanavyowafosi waende kwao halafu wenyewe hawana hata habari 🤣,wameifanya kunyaland na rwanda ndizo nchi zao za kwenda na kurudi kuombea visa mpya 😀,wakenya kule yt uona wivu sana na halafu AA wanazidi kuitana tu

Screenshot_20210527-192803_YouTube.jpg
 
Niletee mm au utafute wewe uliepost?? Yani upost ww uzhuzi alaf uniambie mm nilete, kama unavotafuta ushuzi google na hio utafute pia, sina muda huo kwa sasa😁😁
Hauna muda kwa sababu unajua hautapata mahali Tanzania imetajwa mbele ya Kenya
 
Lishamba kweli hehehe
Eti anataja density. Huyu kilaza atashtuka lini? Hajui kwamba maeneo ya kitajiri kote duniani ni exclusive neighborhoods na hayafai kuwe na population ya juu? Ama unataka Karen iwe na apartment kama mswaki wao?
 
Masaki inafananishawa na karen kwa density hahahahahhahaha 🤣🤣🤣🤣 Jengeni kwanza alaf murudiView attachment 1799083View attachment 1799084View attachment 1799085
Unalingamisha Mswaki wenu wa apartments na Karen mta a tajika duniani? Hivi una akili kweli? Karen inacheza ligi ya daraja la kwanza

Mswaki linganisha labda na Lavington japo nahisi hata Lavington iko mbele yake
Screenshot_20210523-035853~2.png

Screenshot_20210523-035853~2.png
 
Nimemkuta huyu mkunya kwa AA mmoja amecomment hivyo,hawa AA ni kipimo kizuri sana kati ya TZ na kunyaland ipi nchi nzuri kuishi,TZ hatuna dual citizen,viza wanazoingia nazo hao AA zinawapasa kila baada ya miezi 3 watoke nje ya TZ na kurudi ili kupata visa mpya,tuna sheria mgeni aruhusiwi kumiliki ardhi,but hawa AA wamekubali yote hayo na wameunda community yao ikiiomba serikali mambo mengi tu,shida nenda sasa kwenye channel zao kule yt uone wakunya wanavyowafosi waende kwao halafu wenyewe hawana hata habari 🤣,wameifanya kunyaland na rwanda ndizo nchi zao za kwenda na kurudi kuombea visa mpya 😀,wakenya kule yt uona wivu sana na halafu AA wanazidi kuitana tu

View attachment 1799700
Wewe nawe wacha kupotosha eti wageni hawawezi kumiliki ardhi! Si kweli, zuio liko kwa productive land tu na kikatiba/kisheria productive land ni ile ya ukubwa kuanzia 100 acres and above! Chini ya hapo wanaruhusiwa na zaidi ya 100 acres kuna leasing inaruhusiwa!

Foreigners may lease land through long termleases or joint ventures. Using a long lease, a foreign investor will enter into a lease with localland-owners for the most part of the term of the right of occupancy of that land, save for a few days less than a term of occupancy.16 Apr 2020

Wewe nawe wacha kupotosha eti wageni hawawezi kumiliki productive land na kikatiba productive land ni ileostomy kuanzia 100 acres and above! Chini ya hapo wanaruhusiwa na zaidi ya 100 acres kuna leasing inaruhusiwa!

Foreigners may lease land through long termleases or joint ventures. Using a long lease, a foreign investor will enter into a lease with localland-owners for the most part of the term of the right of occupancy of that land, save for a few days less than a term of occupancy.16 Apr 2020

Wewe jamaa mzalendo sana 😀,but uzalendo wako sometimes uwa unakufanya ujue kila kitu,Tanzania kuna vigezo vyake kwa foreigner kununua ardhi,kama una hivyo vigezo huwezi kupata ardhi
 
If you don't know information just ask, no shame in not knowing. I will inform you.

Karen was predominately white area back in the colonial days. The system of registration under land what is called Government Land Act, this was only done in Karen and Mombasa. White man wanted to have a good control over these areas.

After independence the wealthy Kenyans continued with the same regime. That's why you can't get an apartment in that area, the law prohibits
Nani kakuuliza yote haya 🤣🤣🤣 so no eatates and villas in karen???🤣🤣🤣 and who took that land from white ???
 
Wewe jamaa mzalendo sana 😀,but uzalendo wako sometimes uwa unakufanya ujue kila kitu,Tanzania kuna vigezo vyake kwa foreigner kununua ardhi,kama una hivyo vigezo huwezi kupata ardhi
Bakhresa, NHC na wengineo wasingewekeza kwenye mega real estate projects! 🤣 🤣 👆
 
Back
Top Bottom