Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huku tanzania nyumba unauziwa from 15m to 25m depending on size alaf unapewa period time yakulipa about 25yrs

sasa wenzetu mshahara wenyewe tia maji kazi hazieleweki nyumba inauzwa 15m ksh alaf anapewa period ya 7yrs hebu nambie mm nani atanunua tena kuna riba juu ya 1.25%


ndio maana huwezi sikia wana ndoto ya kua na nyumba wala plot View attachment 1799772
Wanakamuliwa left, right & center
 
Wanakamuliwa left, right & center
70% wako kwenye slums hawana ndoto na maisha alaf 15% wapo besitter wakijiita middle class 🤣🤣🤣🤣 waliobakia sasa ndio familia za politicians, investors na baadhi ya wafanya biashara wakubwa kubwa
 

Juzi nilimshangaa Msukuma ati kupinga viwanda vya dhahabu kuwa nje ya Geita! Sasa nikajiuliza tukianza mtindo huo basi tutafika mahali hata kulazimishana nini cha kulima kwenye kilimo! Dhahabu Tanzania ipo sehemu nyingi Mara mpaka Chunya mpaka Dodoma mpaka Singida pia Mtwara. Sasa sijui itakuwaje kama gold refineries zitakuwa Geita tu?
 
Juzi nilimshangaa Msukuma ati kupinga viwanda vya dhahabu kuwa nje ya Geita! Sasa nikajiuliza tukianza mtindo huo basi tutafika mahali hata kulazimishana kilimo! Dhahabu Tanzania ipo sehemu nyingi Mara mpaka Chunya mpaka Dodoma mpaka Singida pia Mtwara. Sasa sijui itakuwaje kama gold refineries zitakuwa Geita tu?
Yule nae wakat mwengine kisomo ni muhimu sana 😀😀😀
 
70% wako kwenye slums hawana ndoto na maisha alaf 15% wapo besitter wakijiita middle class waliobakia sasa ndio familia za politicians, investors na baadhi ya wafanya biashara wakubwa kubwa
Wanaumia kwa ground ila wakiwa humu jamiiforums wanajitutumua uzuri tunafahamu tabia zao.
 
Maisha yao huwa ni ya kukariri.
Na tunaendelea kukariri 😂 😂 😂 😂


images(1).png
images(2).png
images(3).png
 
Karen unafananisha na masaki 🤣🤣🤣 mwenzako anakwambia area ilikua ya whites then ikachukuliwa na wajanja wachache wakajenga estates na kuwakodishia matajiri 🤣🤣🤣 tukikwambia leta dream house za matajiri wenu waliojenga wenyewe hamuna, munaanza kuleta habari ya dream car
 
Back
Top Bottom