dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
Nairobi mzima hauwezi pata Street ka hii. finyu sana
interchange ni moja ☝tu! tz,.. na iko dar-is-slum!Sio newyork ni dar es salaam🇹🇿🇹🇿👇
View attachment 1799489
first, the value of all world currencies are regulated and supervised by worldBank and IMF, hence no space for a country to dictate the value of its currency if not thru trade and other commercial factors that would otherwise make it stronger. secondly, a gdp of a country is ranked by WorldBank, IMF, CIA and UN. hence a country has got no control to dictate the size of its economy!Currency ya Kenya ni managed sio free floating hence iko overvalued by more than 30% Hii huwasaidia wakenya kulipa foreign loans cheaply lakini inaweka Kenya economy kwenye shaky grounds siku ikija ku drop it will be a major drop significantly affecting the economy. On the sidelines the Government is trying to overvalue the GDP so as to create a space for more borrowing while loan to GDP ratio is almost 100% the fall of Ksh to its true value will start when the ability to borrow more has been curtailed
Mama kawakazia mpaka leo kuhusu free work permit,nimewaona twitter wanalalamika hao hatariUmaskini umetufunga wakat watu wana ndoto za ardhi na nyumba kwenu itabaki historia 🤣🤣🤣 alaf mkiwa twitter munalia mpaka mishipa ya shavu inawatoka ila mkija hapa muna pretend kwamba nyinyi mko europe wakat ushuzi wa ngamia
Naona umemjibu vizuri sana hyo mpuuzifirst, the value of all world currencies are regulated and managed by worldBank and IMF, hence no space for a country to manage, it's currency if not thru trade and other commercial factors to strengthen it. secondly, a gdp of a country is ranked by world Bank, IMF and UN. hence a country has got no control to dictate the size of its economy
Wakenya hatuna tabia hzo, urafiki nje nje hko..unakuja nyumbani kwn unafaida gani katika maisha yangu zaidi ya urafiki..Huku nilipo na jamaa wa kikunya najuana nao,miaka ya nyuma baadhi walikua wakirudi kunyan lazima waje dar kutembea,watafika kwangu hata kama nipo huku,wengine ufikia hapo kabisa,msa kuna aunt yangu yupo huko miaka na miaka kuna macousin wangu nrb,msa,mpaka lamu huko,sasa mimi nikawa kila nikienda msa wale wakunya wanaokujaga dar na kufikia kwangu hata kama mimi sipo dar nikiwa msa wananikwepa,wengine kama zali wanakua hapo hapo msa lakini tunakutana town au waje nilipofikia kwa ndugu zangu,aunt yangu akanishtua hao kwao kuko ovyo tofauti na unavyowadhania hawawezi kukuonyesha kwao
![]()
Waume zao wanakua ma shamba boyAunt wako wa Mombasa asiwe anafanya kazi ya house girl maanake watanzania wamejazana huko Mombasa wanafanya kazi za nyumbani.

kisha eti husingizia wametoka mpakani ndio wasisumbuliwe na wazee wa mtaaKama ni hivyo mbona wakija TZ wanafikia kwangu 🤣🤣,acheni kujiweka matawi nyie while pangu pakavuWakenya hatuna tabia hzo, urafiki nje nje hko..unakuja nyumbani kwn unafaida gani katika maisha yangu zaidi ya urafiki..
Kila mtu kwao kwao, ndio manake duniani kukawa na sehemu za public