Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawapendi ujue maisha yao wao kitu muhimu wanapenda kusifia uongo waonekane wako vzr kumbe wananyea ndoo🤣 alaf sijui wanalaana gani hvi dunia ya leo unaeza danganya mtu kua unacho wakat huna kweli dunia hii ya leo hata sokwe ukimpa simu anatumia😂😂😂 alaf wako hpa kujisofia uongo wakienda twitter huko wanalia na mapovu juu
Wakunya madish yameyumba 😀
 
Masaki inafananishawa na karen kwa density hahahahahhahaha 🤣🤣🤣🤣 Jengeni kwanza alaf murudi
B99AEF8D-6BBA-43DC-8F0D-E7187CAB35FE.jpeg
95BB62F0-D22B-4B70-9520-992FFE48341F.jpeg
A0E8B156-D665-4392-9477-460374D19E80.jpeg
 
ukiona watu wengi wanakuchunguza hadi wanapata kujua mpaka mambo yako ya undani(bedroom), na wee hataa hauna shugli nawao, ujue wee ni maarufu kweli. kenya sihami!
 
Umeona hii pia?





Kule Kisumu kuna hii..Nina wasiwasi sana na mapaa ya "Kisumu International Stadium" yatakuja kuleta maafa!









Hebu fananisheni na Kirumba stadium ambao una miaka zaidi ya 40! na mseme upi bora!

DHv5D6zXcAAfQ32



DHv5D62XcAA1wVa





Huu Uwanja wa CCM Kirumba kusema kweli unahitaji modernization kidogo unafikia wa Mkapa kwa uzuri yaani tuseme kama $15mln worthy of modernization! nma tunapata plus 40,000 seats International Stadium!

Serikali isiutupe huu Uwanja hii location ni nzuri sana.



MY TAKE
Huyu mama Amina Mohamed mpaka anatia aibu yaani anatetea hiki kinachofanyika Kisumu Stadium ndo walitaka awe AU general secretary?

Mutaitina what's ur opinion Kshs 400 mln ilijenga pia floating footbridge Mombasa!
 
Bongolala, nimekuambia utaje jina ya hiyo forest umeshindwa. Sasa mbona unasisitiza kitu hujui?

Secondly, rich neighbourhoods are not supposed to have high density. Tafuta picha za Beverley Hills ujionee. Density inawachiwa sehemu za low-income areas and middle-income areas kama Mswaki wenu. Nenda Beverley Hills uone kama kuna population density. Utarevuka lini?
Lishamba kweli hehehe
 
Back
Top Bottom