Your reasoning is too pedestrian and obviously fallacious

,yaani an outright fallacy! Wewe usifikirie kwa vile kuna nchi yenye currency hafifu with strong economy ndio ufananishe na Tanzania



, nimejaribu kukuelimisha ili uelewe. Najua akilini mwako utafikiria kwa Tanzania kukua na weak currency sio issue, ila elewa sababu yenyu na Kenya kukua na weak currency against the majors ukilinganisha na sababu ya Japan na China.
Kenya iko na almost same characteristics na Tanzania on how the currency lost its value against major currencies, utapata Kenya ilikua ufisadi na struggle for multi party during Moi era which led to sunctions kibao, kwa Tanzania ni uvivuu inayo sababisha ufukara na ujamaa ya Nyerere ilichangia pakubwa, plus western machinations against socialism, lakini licha ya hayoKenya iko afadhali ukilinganisha na Tz , Kenya with a relatively strong currency is advantageous ikija kwa export business, and with a bigger economic output, nyie uchumi ndogo watu wengi, nchi kubwa! Balaa, itawachukua mda kutoka kule chini, solution ni industrialization tu, but as things are in Tz, pengine muujiza ufanyike, fortunately I believe in miracles.