Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So zikiletwa picha za nyumba ndio inakuaje 🤣🤣🤣 watanzania wanajenga nyumba zao sio wanajengewa na mtu mmoja alaf wao waende kurent hakuna kitu kama hicho huku ardhi inakilikiwa na mtanzania yoyote mpaka mtu wa chini na bei za ujenzi gharama zake ni ndogo kuliko nchi yoyote ukanda huu na kama unabisha niambie 🤣🤣🤣🤣
ni umasikini umewafunga, ndio maana wanajenga na kukodesha nyumba za ovyo ovyo, village type., zile zimejengwa kienyeji😂😂😂😂., mko down sana!!
 
Hujajibu swali,kunyan shilings na japan yen almost value yake iko sawa,kwa mujibu wa kunyan uchumi wenu vizuri sababu ya thamani ya currency yenu,so ndio nikauliza sababu pesa yenu inaendana na ya japan so uchumi wenu unalingana na japan?kuna nchi maskini sana lakini pesa yao ina nguvu kuliko yen
Your reasoning is too pedestrian and obviously fallacious 😂 😂 😂 ,yaani an outright fallacy! Wewe usifikirie kwa vile kuna nchi yenye currency hafifu with strong economy ndio ufananishe na Tanzania😂😂😂, nimejaribu kukuelimisha ili uelewe. Najua akilini mwako utafikiria kwa Tanzania kukua na weak currency sio issue, ila elewa sababu yenyu na Kenya kukua na weak currency against the majors ukilinganisha na sababu ya Japan na China.
Kenya iko na almost same characteristics na Tanzania on how the currency lost its value against major currencies, utapata Kenya ilikua ufisadi na struggle for multi party during Moi era which led to sunctions kibao, kwa Tanzania ni uvivuu inayo sababisha ufukara na ujamaa ya Nyerere ilichangia pakubwa, plus western machinations against socialism, lakini licha ya hayoKenya iko afadhali ukilinganisha na Tz , Kenya with a relatively strong currency is advantageous ikija kwa export business, and with a bigger economic output, nyie uchumi ndogo watu wengi, nchi kubwa! Balaa, itawachukua mda kutoka kule chini, solution ni industrialization tu, but as things are in Tz, pengine muujiza ufanyike, fortunately I believe in miracles.
 
Kunakaa turkana aisee[emoji1787][emoji1787]
Km hzo ndio middle class zenu katika jiji la dar basi poleni sana
 
ni umasikini umewafunga, ndio maana wanajenga na kukodesha nyumba za ovyo ovyo, village type., zile zimejengwa kienyeji😂😂😂😂., mko down sana!!
Umaskini umetufunga wakat watu wana ndoto za ardhi na nyumba kwenu itabaki historia 🤣🤣🤣 alaf mkiwa twitter munalia mpaka mishipa ya shavu inawatoka ila mkija hapa muna pretend kwamba nyinyi mko europe wakat ushuzi wa ngamia
 
Mwanza int airport passenger terminal building 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👇👇👇

EAD08BD7-176E-4184-B94D-6201F80DE481.jpeg
FE3EE1F0-51B5-491F-B5A5-56D81E669FE1.jpeg
B073E3BC-3F96-489C-BD89-1682A83A88A5.jpeg
 
ndio mama ngina aliwadanganya 🤣
If you don't know information just ask, no shame in not knowing. I will inform you.

Karen was predominately white area back in the colonial days. The system of registration under land what is called Government Land Act, this was only done in Karen and Mombasa. White man wanted to have a good control over these areas.

After independence the wealthy Kenyans continued with the same regime. That's why you can't get an apartment in that area, the law prohibits
 
Back
Top Bottom