Huku nilipo na jamaa wa kikunya najuana nao,miaka ya nyuma baadhi walikua wakirudi kunyan lazima waje dar kutembea,watafika kwangu hata kama nipo huku,wengine ufikia hapo kabisa,msa kuna aunt yangu yupo huko miaka na miaka kuna macousin wangu nrb,msa,mpaka lamu huko,sasa mimi nikawa kila nikienda msa wale wakunya wanaokujaga dar na kufikia kwangu hata kama mimi sipo dar nikiwa msa wananikwepa 🤣,wengine kama zali wanakua hapo hapo msa lakini tunakutana town au waje nilipofikia kwa ndugu zangu,aunt yangu akanishtua hao kwao kuko ovyo tofauti na unavyowadhania hawawezi kukuonyesha kwao 🤣🤣