Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,820
- 9,588
JUNGLE slum πππππ
View attachment 1789785
Yaani Kenya kila siku slum mpya inazaliwa πππ
Use this energy to show us where dar super majority liveππππ
JUNGLE slum πππππ
View attachment 1789785
Yaani Kenya kila siku slum mpya inazaliwa πππ
Use this energy to show us where dar super majority liveππππ
Mwanzoni waliweka mabati nafikiri wamejenga kwa cku chache sn mana juzi tu makamu wa rais ameenda kutembelea kulikuwa kumezungushwa mabati, kiukweli wamezingua kujenga jumba km kanisa. Au labda hapo ni ibadani co kaburi.Hii ni Mausoleum ama? Yaani concept ya kujenga kaburi simple na kuweka garden safii hamna Tanzania? Sasa mtu aliweka usia azikwe kwenye makaburi ya familia unapojenga nyumba namna hii inakaa vp?
Hivi kuwa na kitu simple kama hivi tunashindwa vp? Lijumba la kishamba lina lipaa likubwa kama dunia? yaani kwelii ndo heshima kwa mpendwa wetu?
View attachment 1789481
![]()
Kenya kuzaana jadi yenu, nchi yenu inaingia zaidi ya mara mbili kwa yetu lkn raia tumewapita only 5milMaskini asiyejua umuhimu wa units na nyumba za chini
Jiulize kwnn new york ina watu wengi kuliko dar wakati dar ni kubwa..
Units ndio zinabeba watu wengi kuliko uswazi, rudi shule jomba






Mi sijui aisee ila design za makaburi zipo wangeenda hata makumbusho pale wakaona! Labda ndo familia imeona ndo kumuenzi Rais wa nchi vyema!Mwanzoni waliweka mabati nafikiri wamejenga kwa cku chache sn mana juzi tu makamu wa rais ameenda kutembelea kulikuwa kumezungushwa mabati, kiukweli wamezingua kujenga jumba km kanisa. Au labda hapo ni ibadani co kaburi.
View attachment 1789842
Everyone is welcome in the land of freedom

. Naona Check Engine hapo kwenye Dashboard Boss, Tunajali usalama wako.Oneni swazi huu mchafuπππeti affordable housesMm nazoom umepost picha ya morogoro road ngoja tuzoom tuone kwann mZungu hakuona slum π€£π€£π€£π€£πππππ tafuta sehemu yoyote dar unitajie mm nitafanya zoom bure kabisa na nitakwenda eneo hilo nichukue ground view kama vile tandale ilivowatoa uharoππππView attachment 1789253View attachment 1789254View attachment 1789256
This area equals to the whole NairobiUse this energy to show us where dar super majority liveππππ
Naona unawasuta watanzaniaKenya kuzaana jadi yenu, nchi yenu inaingia zaidi ya mara mbili kwa yetu lkn raia tumewapita only 5mil![]()




Hata makanisa pia wana sacco's zao, wakulima pia vile vileAnaemiliki sacco ni nani ???Twende taratibu mm sitaki hasira kabisa mm nachotaka uelewe kwamba wakenya wengi maisha yao ni kurent na sio kuown land or house
mm narudia point yangu hata hzo estate hawamiliki watu zinamilikiwa na mashirika ya serekali na taasisi za waty binafsi wengi wana rent na hao vigogo hutumia kama business![]()



Hapa umechemkaWho bought ??? Ni middle class gani mwenye pesa ya kununua nyumba kenyaau ww hukmjui maana ya middle class, kwan ukijenga na watu hawajanunua then unafanya nn siwanapanga kama kawaida au nadanganya mm
wewe danganya watu nairaland sio hapa


Mbona imeishia njiani sasa π€£π€£π€£ na zile 14b ksh zikwapi zimeliwa na wajanjaNdio manake sai rais na mwenzake raila wameleta BBI ili iweke mambo sawa, haiwezekani pesa zitolewe kw ahadi na wakati kuna mbinu nyingi sana moja ni hyo ya kutunga sheria ya kupeleka mpunga wa mana mashinani
Wana majumba yakwapi??? Ww unaniona mm wakuja ama ?? π€£π€£π€£π€£Hapa umechemka
Lenya watu wana majumba aisee yani hzo pumba ndizo ulizolishwa hko vijiweni
Umelishwa pumba kijiweniVijijn wapi labda kama ni ya kurithi hawa jamaa hawawezi kumiliki ardhi Nairobi na Nairobi metro in general, k.m ukienda kiambu huwezi kupata mtu wa kabila lingine anamiliki ardhi eneo ilo zaidi ya mkikuyu
Yani mkalenjin atoke rift valley aje amiliki ardhi kiambu izo ni ndoto za alinacha haitowahi kutokea




Ni watanzania wanazinunua.Who bought ??? Ni middle class gani mwenye pesa ya kununua nyumba kenya π€£π€£π€£ au ww hukmjui maana ya middle class, kwan ukijenga na watu hawajanunua then unafanya nn siwanapanga kama kawaida au nadanganya mm πππππ wewe danganya watu nairaland sio hapa
Kua na sacco sio shida hakuna sacco inafanya kazi ya kanisa kwamba inagawa vitu bure hata matatu zina sacco ila hawagawi matatu bure π€£π€£π€£π€£ tatizo investment ikifanyika inatakiwa return irudi sasa wakununua nyumba wako wapi hao munaowaita middle class π€£π€£π€£ kwenu middle class ni yule anaweza lipa rent ya bedsitterHata makanisa pia wana sacco's zao, wakulima pia vile vile
Mbna unaumia mzee baba, kwnya shule zingine zinajengwa mpka na wananchi(harambee) we si umesema unaijua kenya hivi tena imekuaje
Bwahaha!!umehamisha goli tenaKua na sacco sio shida hakuna sacco inafanya kazi ya kanisa kwamba inagawa vitu bure hata matatu zina sacco ila hawagawi matatu buretatizo investment ikifanyika inatakiwa return irudi sasa wakununua nyumba wako wapi hao munaowaita middle class
kwenu middle class ni yule anaweza lipa rent ya bedsitter


Huku ndo ukunyani kwenyewe sasa hawa ndo wanawapikia wale wa Karen na all those posh areas! Unakuta mtu hana choo halafu anaenda lisha wale wa Muthaiga na Kileleshwa! Ndo maana Kipinduapindua hakiishi Nairobi! Feudalism in 21st Century.Huruma slums π π π π
Hosts 700k Kenyans
View attachment 1789738View attachment 1789739View attachment 1789740View attachment 1789741View attachment 1789742View attachment 1789743View attachment 1789744
Nani ana 14m ksh nani ni middle gani kenya ana pesa ya kulipia nyumba na kununua kwa mshahara gani kwa maisha gani π€£π€£π€£ππ na wewe mwenyewe umesema kununua ardhi nairobi sio sh mbili