Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ameruka futi kumi[emoji23][emoji23]
Sai imekua hzo appartments wanaonunua ni matajiri middle class hawa afford, yani nimemcheka kw dharau sana
Nimeruka futu kumi mm au nani 🤣🤣👇👇

Hamuna uwezo wakuown land na ww umesema mwenyewe land in nairobi ni wxpensive sio sh mbili na bado majority ni maskini watamiliki vp ardhi na nyumba na ukasema ww una urithi ushagoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa sijui wapi unakwama wewe lakini ndoto ya kumiliki nyumba nairobi haipo kwa wengi sana ukiwemo wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umebadilisha tena[emoji23][emoji23] si nyie mnasema kenya kumiliki ardhi ngumu sai umebadilisha nairobi..
Kwn uliskia nairobi ni jiji ambae kila mtu anaiwaza na kutaka kuishi...
Unaforce mpaka unachemka mzee
 
Sema muna rent pesa ya kununua hamuna mpaka dunia itasmama 15m ksh mshahara wenyewe 30k shs hapo bado makato ya serekali hapo hujala hapo hujalipa rent hapo hapo bado transport hapo hapo bado stima na maji hapo hapo hujavaa 🤣🤣🤣🤣🤣 acheni masikhara nyinyi
Kwa hivyo mbona hizo nyumba zinajengwa kama wawekezaji washajua wakenya hawana uwezo wa kuzinunua? Najua wewe ni mjinga na pia uko na elimu duni but do you know something about market analysis? Do you know what it entails and why companies and investors do market analysis?
 
Umebadilisha tena[emoji23][emoji23] si nyie mnasema kenya kumiliki ardhi ngumu sai umebadilisha nairobi..
Kwn uliskia nairobi ni jiji ambae kila mtu anaiwaza na kutaka kuishi...
Unaforce mpaka unachemka mzee
Kwanza rudi kwenye mada iliopoanzia alaf uje tuongee unafandia kichwa kichwa tu muulize mwenzio tulianza wapi mpaka sahii tuko wapi kenge wa kiume wewe🤣🤣
 
Umebadilisha tena[emoji23][emoji23] si nyie mnasema kenya kumiliki ardhi ngumu sai umebadilisha nairobi..
Kwn uliskia nairobi ni jiji ambae kila mtu anaiwaza na kutaka kuishi...
Unaforce mpaka unachemka mzee
Yani huyu kilaza anareason as if wakenya wote 52m wanaishi Nairobi
 
Majumba au kurent estates ??? Eleweka kidogo hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti ukiweza kurent bedsitter nawewe middle class nyama ya bata
Wakenya wana majumba mzee[emoji23][emoji23]
Yani unapagawa na estates za nairobi basi waona watu hawamiliki mijengo..

Narudia tena wakenya wana majumba[emoji23][emoji23]
 
Kwa hivyo mbona hizo nyumba zinajengwa kama wawekezaji washajua wakenya hawana uwezo wa kuzinunua? Najua wewe ni mjinga na pia uko na elimu duni but do you know something about market analysis? Do you know what it entails and why companies and investors do market analysis?
Kwani munapo rent maana yake nn hawapaswi kujenga, wanajenga kama investments wakijua nyumba ni basic need utake usitake utaishi ndani manake huwezi oga barabarani pale thika road 🤣🤣🤣
Lakini kwa masharti haya mutaishia kumiliki nyumba kwenye ndoto
F73A533C-F121-40A2-B597-D19880F8ED72.jpeg
 
Kwa hivyo ardhi zote za Kenya zipo Nairobi?
Kwan ww uliposema nairobi land sio shs mbili ulikua unaongelea nairobi gani ???🤣🤣
Hvi nikuulize swali na just be frank wewe hutamani kua na nyumba hapo nairobi?? Nijibu ukweli hata kama unaumia rohoni
 
Kwani munapo rent maana yake nn hawapaswi kujenga, wanajenga kama investments wakijua nyumba ni basic need utake usitake utaishi ndani manake huwezi oga barabarani pale thika road 🤣🤣🤣
Lakini kwa masharti haya mutaishia kumiliki nyumba kwenye ndoto
View attachment 1789896
Nimekuilia swali rahisi sana. Do you know something called market analysis?
 
Wakenya wana majumba mzee[emoji23][emoji23]
Yani unapagawa na estates za nairobi basi waona watu hawamiliki mijengo..

Narudia tena wakenya wana majumba[emoji23][emoji23]
Kwa ku rent sina shaka hio hata hunidanganyi lakini kuown land and a house kwa mkenya wa middle class na kushuka chini ni ndoto ya alinacha na hili unalijua 🤣🤣🤣
 
Mm nikasirikie labda niwe siwajui nyinyi ndio ntakasirika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na haitatokea kua afford mpaka dunia inasmama kwa mshahara gani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umekasirika mzee, mpka unatulazimishia tuishi nairobi...hzo si hasira tosha[emoji23][emoji23]
 
Kwan ww uliposema nairobi land sio shs mbili ulikua unaongelea nairobi gani ???🤣🤣
Hvi nikuulize swali na just be frank wewe hutamani kua na nyumba hapo nairobi?? Nijibu ukweli hata kama unaumia rohoni
I already own a house in Nairobi. Na sio dreamhouses kama ile yako ya Gongo la mboto
 
Jipe matumaini mm najua nilipogusa huwezi tikisika kwasababu nimegusa sehemu sahihi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huijui kenya mzeee[emoji23][emoji23][emoji23]
Tena nasisitiza, huijui kenya mzee
 
Back
Top Bottom