Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

That's the kind of gospel he's trying to preach here. Eti kila mtu Dar amejenga nyumba
Huku kwetu nitofaut sana huku maskini kumiliki ardhi ni kitu cha kawaida sana ww hushangai kwann dar ina ukubwa 1600km sq na ina watu around 5.5 m na kwann nairobi ina 696kmsq ikiwemo national park na misitu ya kutosha na ina watu 5m bado unatafuta mchawi hapo na ratio iko wazi 🤣🤣🤣🤣

ukiachilia maskini kumiliki ardhi bado vifaa vya kujengea nyumba ni rahisi sana niliwah kutoa mfano wa mchanga ukiuzwa dar na nairobi, kokoto pia na cement bado munataka ramli ije iwasaidie 😁😁😁

leo hii unataka kunidanganya mm mkenya middle class anaouwezo wa kununua nyumba nairobi unanidanganya mm mzee??😃😃😃 wakat mm nina ndugu kibao ni middle class hawana hata ndoto ya ardhi achilia mbali nyumba 😄😄😄😄

mm narudia kusema nairobi land inamilikiwa na wacahche wengi wakiwemo politicians, taasisi za serekali na investors pamoja na wafanya biashara wakubwa kabisa wanaoshirikiana na politicians kwisha ukiwatoa hao nani anamiliki ardhi mtu hushangai kibera kua na watu 2.5million😃
 
Leta facts tupe budget ya 2020/2021 na 2021/2022 tuamini!

Wala kaka, mimi nimekudokeza tu na kuongea kama navyoongeaga. Muda si mrefu utaupata ukweli, wanao nidokeza sio watoto na hawana sababu ya kuongea uongo or kusingizia.

Amini nakuambia, kama nilivyosema mwanzo huyu mama ni mamluki taratibu unaanza kulielewa hili.

Anza kupepesa nilichodokeza kuhusu hiyo bajeti ya wizara ya ujenzi kupunguzwa kwa 20% utakuja nijuza humu kama ni uongo.
 
Who own sacco unataka kuniambia mkenya wakawaida pesa ya kununua nyumba anaitoa wapi na umrkiri mwenyewe kua land nairobi sio shs mbili😄😄😄 na ukasema muna urithi vijijini sijui nn hahahhaa acheni upumbavu na sifa za kijinga bakieni kurent bedsitter na kutafuta pesa ya githeri lakini ndoti ya ardhi na nyumba haitakuwepo mpaka dunia inasmama
Mzee Saccos are not owned by individials nashangaa hujui, kwan hamsomi business lazyland😂😂
 
ichoboy01 kama ungesoma secondary ungejua saccos are owned by members not individuals😂😂😂😂😂 rudi gumbaru😁😁😁😁
 
Yani hawa wazee wa bedsitter ukiingia kwwnye bedsitter , hatua ya kwanza tuu ushafika sebuleni ,chumbani ,jikoni na chooni hatua ya pili upo njee
Wabongo wamelasirika[emoji23][emoji23]
Wazee wa chumba kimoja choo nje baba mama na watoto humo humo..
Maisha ya kizamani sana hayo, si heri besitter wanaishi vijana na watoto wa chuo kuliko nyie chumba kimoja choo nje alafu mtu anaishi na mke na watoto humo humo
 
Duuhhh aloo, yn vi estate ni eneo dogo sana alafu maslums yamezunguka kotee, baba basi basi basi inatosha mkuu tumekoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1788920View attachment 1788921
Maskini asiyejua umuhimu wa units na nyumba za chini[emoji23][emoji23]
Jiulize kwnn new york ina watu wengi kuliko dar wakati dar ni kubwa..

Units ndio zinabeba watu wengi kuliko uswazi, rudi shule jomba
 
Na sasa muulize swali nani anamiliki hzo estate [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ili ujue ratio ya umaskini wao estate inamilikiwa na politician mmoja au investor waliopanga ni elf 50 hao hao elf 50 hawana ndoto ya ardhi wala nyumba wanachitafuta mjini ni rent na hela ya uji anakwambia na hao ni middle class
Nani kakwambia investors siku wanajenga wakodishie watu[emoji23][emoji23]
Units kibao sana zinamilikiwa na waliozikomboa, mpo nyuma sana. Aisee
 
Hiyo Ni Kibera kijana wa Tandale. My focus was to show you areas around Kibera slum so you can compare with your dreamhouses. This is how the area around Kibera slum looks like from the air. Nionyeshe hizo slums zingine hapo. Kubalini yaishe
View attachment 1788949
Hawaamini kuona ya kwamba kibera imezungukwa na mitaa ya maana wala sio km kule kwao uswazi pande zote zote
 
Mzee Saccos are not owned by individials nashangaa hujui, kwan hamsomi business lazyland😂😂
Sacco zinakua owned by who na nani kasema sacco zinakua owned by individual 🤣🤣 sasa maana yake ni kua wakenya wengi sana hawana ndoto ya ardhi wala nyumba simple and clear
 
Nilishakwambia kama unaijua masaki vzr inaukubwa sana mombasa yote [emoji1787][emoji1787][emoji116]

View attachment 1788956View attachment 1788957View attachment 1788958
Masaki na nyali ki population kwanza ndio ujue km watu tanzani wengi ni walalhoi walai..
MK254 Tony254
Ona vile population ya watu wao hko wanakokuita ushuani[emoji23][emoji23]
Panaishi watu wachache sana walai
Screenshot_20210518-133407_Samsung%20Internet.jpg
Screenshot_20210518-133442_Samsung%20Internet.jpg
 
ichoboy01 kama ungesoma secondary ungejua saccos are owned by members not individuals😂😂😂😂😂 rudi gumbaru😁😁😁😁
Then sacco owned by who heb tusaidie hapo kwanza 🤣🤣🤣🤣 ili tuone kwann ardhi nairobi inamilikiwa na politicians, inveators, taasisi za serekali pamoja wafanya biashara wakubwa
 
Back
Top Bottom