Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huwa wanasema humu wana interchange nyingi kumbe huwa wanahesabu na hizi
JamiiForums1459412166.jpg
 
Sold to who ?? Nani ananunua estate ?? Nani ??? Hvi wewe unaniona mm sijui maisha ya kenya au ??? Nani wakununua huyo labda watoto wa politicians na watoto wa matajiri wachache
Watu kibao wanamiliki appartments jomba acha makasiriko
Tena narudi tena wengi sana wanamiliki appartment na wala sio watoto wa politicians wala nini
 
😅😅😅😅 Mimi kuonesha sehemu majority of Kenyans calling home ndio roho mbaya? 😆😆
Debate ilikua nini wewe kilaza?., middle class na middle lower residentialsDar vs Nairobi😂😂😂😂., Wapi za Dar? Kichapo cha mbwa sasa ni kilio na matako ya Nairobi.., kama una kende weka hapa za Dar tuzione, umekosa na hautopata, kwa vile hazipo.., kama ziko mwaga picha...,nilinganishe pole pole😂😂😂😂😂😂.., Leo memenyamba vumbi hadi raha😂😂😂😂😂.,
 
Hehehe Kuna siku we were driving around in Dar nikiwa na Mtz, nikamuomba anipeleke sehemu wanakoishi matajiri, yaani upper class kabisa kwenye majengo ya kifahari ambapo wanapakubali wote, tulizunguka kanipeleka sijui Ununio mara sijui wapi, nilitafuta nini cha kulinganisha na mitaa ya kifahari hapa Kenya nikakosa.
Hamna mzee
Mitaa ya kifahari ukanda huu kenya ndio babayao
 
Watu kibao wanamiliki appartments jomba acha makasiriko
Tena narudi tena wengi sana wanamiliki appartment na wala sio watoto wa politicians wala nini
Hilo huyo hawezi kubali, utachoka bure😂😂😂😂., wamehema wametafuta Dar yote wamekosa za kuleta sasa wanatafuta matako ya Kenya kujiliwaza., Wameona vumbi leo😂😂😂😂.., Dar ni CBD tu.., kazi kwisha.., wamebaki na hekaya za abunuasi😂😂😂😂.,
 
SACCO is a Kenyan thing, Kuna siku Ghana were doing a study on SACCOs from Kenya., So usishangae hajui hilo, shida yake nikupingana ata vitu obvious, na kujifanya anajua yet hajui, ana pick anything kwa mtandao then anatumia ku argue na haelewi😂😂😂😂., hasikii vizuri kuona Nairobi inalambisha Dar sakafu kwa middle na low middle class residentials(average standards).., sasa tukienda kwa upper middle na upper class je? Si atanyamba vumbi humu😂😂😂😂.,kama akina Runda, Lavington, Kilimani, Loresho, Karen, Muthaiga, Spring Valley, Woodley etc., si atahema, ju ka oyster bay hakawezi karibia😂😂😂😂😂.,
In 2018 kenya had 22,000 cooperative societies with 14million members and 6.4$ billion in savings making us the second on the continent.
 
Hatutafuti slums, battle ni comparison ya lower middle class na middle class residentials kilaza, hauna pa kutokea leo😂😂😂😂😂 wacha kukwepa mada na Kiswahili mingi😂😂😂😂😂😂., Umehema kwa vile umeishiwa, hauna za kuonyesha..,, Eastlands pekee imetoa dar kamasi na minyambo😂😂😂😂😂
Ushawahi kuona wapi middle class akaishi kwa bedsitter au room ya ku-rent????..acha ushamba
 
Ushawahi kuona wapi middle class akaishi kwa bedsitter au room ya ku-rent????..acha ushamba
Hizo estates tumeweka ni low middle class, very soon naachilia middle class estates. Alafu mtafundishwa mara ngapi real estates hazikodishwi🙄🙄
IMG_20210518_151056.jpg
 
Back
Top Bottom