Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kiswahili tupu, empty rhetorics😂😂😂😂, wapi za Dar?., hamna chochote nyie, kama ziko leta humu Kiswahili mingi ya nini?😂😂😂😂.,
Dawa imeingia sasa 🤣🤣🤣🤣 hamupendi lugha ya kiswahili
 
Nyingi bila mwana.

Nimedokezwa "Bajeti ya Wizara ya Ujenzi imepunguzwa kwa 20%", ukijumlisha na ufisadi utakaoanza kwenye miradi, sijui kama hata 20% ya Magufuli atafika. Yaani tumerudi kulee kwa Kikwete.

Leta facts tupe budget ya 2020/2021 na 2021/2022 tuamini!

kuna ukweli budget imepunguzwa hasa sehem ya uchukuzi

IMG_1621318902.048315.jpg

hii ni budget ya mwaka ujao(2021/2022)
total = 3.747 trillions
ujenzi = 1.627 trillions
uchukuzi = 2.12 trillions

budget ya mwaka jana ilikuwa hiv
total = 4.768 trillions
ujenzi = 1.616 trillions
uchukuzi = 3.152 trillions

tofauti: budget ya mwaka ujao umepunguzwa kwa almost 1.021 trillions (21%) pungufu ya mwaka jana
IMG_1621319082.399011.jpg

IMG_1621319104.996448.jpg


summary ya budget ya mwaka huu hii hapa
 
😂😂😂😂😂😂an idiot is running away na kajisababu., mumepewa a clear analysis, very objective with clear demarcations., Wapi ya Dar? Hapa jibubhakuna ni vijisababu uchwara kwendeni uko😂😂😂😂😂., Hauwezi pata such organization and modern housing in such density in Dar., kuna all types but where is your low middle and middle class residential., yaani Dar ni village type lifestyle 😂😂😂😂😂., Mmeogopa kuweka picha😂😂😂😂😂😂😂., idiots, kwa kukwepa hamjambo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.,
Mtoe wapi wide area organized residential,..,ni hapa mtabakia siku mingi, nyumba za kishamba, dirisha za mbao., village at the coast😂😂😂😂 , View attachment 1789191
View attachment 1789192
View attachment 1789194
View attachment 1789193
Mm nazoom umepost picha ya morogoro road ngoja tuzoom tuone kwann mZungu hakuona slum 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇 tafuta sehemu yoyote dar unitajie mm nitafanya zoom bure kabisa na nitakwenda eneo hilo nichukue ground view kama vile tandale ilivowatoa uharo👇👇😁😁
479028F2-5316-4026-80A5-4AC22DB76155.png
B1A2B67C-3373-4CFB-8910-635294F9D6E0.png
C9DA2D70-EA08-4057-855D-E212116F338A.png
 
@kikihboy maisha ya Tanzania kila mtu anaweza kujenga popote pale haijalishi tajiri au maskini sie tumechanganyikana ndo maana kila sehemu hata vijijini huwezi pita nyumba 10 hujakutana na nyumba ya kisasa

tanzania ujenzi yani style unabadilika unaendana na wakati mtu aliejenga mwaka 2010 hawezi kulinganisha nyumba yake na ya sasa now days vijana wanafyatua vitu vizuri si mchezo
sie wazee tumepitwa na wakati tena

tanzania raia wengi tumelinganalingana kipato,kiuwezo ,pia ujenzi huku ni rahisi sana!





nyumba kama hizi unaeza kutanana nazo popote pale [emoji116]
View attachment 1789238View attachment 1789244
Hizi vitu unasema hapa zinapatikana kila sehemu hata huku Kenya. Usifanye nianze kukupigia picha vijijini kwetu nizitume hapa. Hapa tunaongea maisha ya watu wa Dar na Nairobi. Unataka kuniambia Mtu anayemiliki nyumba hapa ako na uwezo wa kujengwa nyumba kijijini kama hiyo uliyopost.
Screenshot_20210515-100338~2.png

Si angejengatu nyumba kama hiyo uliyopst hapa badala ya huu ushuzi
 
Dawa imeingia sasa 🤣🤣🤣🤣 hamupendi lugha ya kiswahili
Yaani ni vile unakosa jibu mwafaka to level against what is given, unabaki ukipayuka tu empty rhetorics😂😂😂😂😂😂.,
 
😂😂😂😂😂Ni misamiati sasa.😂😂😂😂, endelea kunifunza Kiswahili, points zero, unajitia hamnazo eti😂😂😂., leta na minyambuliko na vina vya kati na vya nje kwenye shairi yako., 😂😂😂😂😂😂😂😂., unapata tabu sana😂😂😂😂😂😂
Hasira hazikupendezi 😃😃😃😃 na sijui kwann umekasirika
 
Mm nazoom umepost picha ya morogoro road ngoja tuzoom tuone kwann mZungu hakuona slum 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇 tafuta sehemu yoyote dar unitajie mm nitafanya zoom bure kabisa na nitakwenda eneo hilo nichukue ground view kama vile tandale ilivowatoa uharo👇👇😁😁View attachment 1789253View attachment 1789254View attachment 1789256
😂😂😂😂😂😂😂 thank u, hii ndio average middle na lower middle za Dar to level na eastlands😂😂😂😂
Screenshot_20210517-150125.jpg

Screenshot_20210517-150215.jpg

Screenshot_20210517-145752.jpg


Screenshot_20210518-085241.png
 
Kwa hivyo hawa wasioishi kwenye apartments ndio matajiri? Hizi ndio nyumba zinazomilikiwa na matijiri wa Dar 😂 😂 😂 😂
View attachment 1789221View attachment 1789225View attachment 1789236View attachment 1789237

No thank you, endeleeni tu na huo utajiri wenu. Hatuitaki! 😂 😂
Ngoja tuzooom tuone hzo nyumba zikoje tuanze na magomeni kagera 🤣🤣🤣👇👇😃😃😃😃😃 mzungu hawezi kua mjinga mpaka dunia itasmama👇👇👇 ukipata sehemu nyingine niambie nikusaidie kwann mzungu hakukosea 👇👇👇😀😀😀
2A6C72B1-737D-4B36-B828-97CD49000A7B.png
8AFE969D-E00C-488F-8100-3B63F1CC1528.png
 
Hasira hazikupendezi 😃😃😃😃 na sijui kwann umekasirika
Umeona nimekasirika ama unalazimisha fikra zako😂😂😂😂., ndio nakwambia uko na Kiswahili tupu😂😂😂., chochote unachofikiria kwa akili yako ndio basi 😂😂😂., pole bro.,😂
 
Masaki 95% ni nyumba za matajiri wenyewe na wanaishi wenyewe appartment ni chache sana kwa wageni tatizo lako ww unauelewa mdogo sana juu ya dar 😂😂😂😂😂 na kuna baadhi ya hotel kwa ajili ya wageni pia na hio masaki ni kubwa vibaya sana yanu kubwa kweli kweli 😃😃😃😃
Ubaya ni kwamba unakana hadi vitu zinaonekana tu kwa macho. Eti Masaki apartments ni chache sana? 😂 😂 😂 Hizi nyumba za ghorofa naona hapo kila mahali zinaitwaje?
 
Ubaya ni kwamba unakana hadi vitu zinaonekana tu kwa macho. Eti Masaki apartments ni chache sana? 😂 😂 😂 Hizi nyumba za ghorofa naona hapo kila mahali zinaitwaje?
Nakuuliza swali unijibu who own those estate na usiponijibu nitakusaidia pia 🤣🤣🤣 kwasababu huwezi nidanganya wewe nakwambia tena masaki 95% ni nyumba za watu binafasi na appartments ni chache mostly kwa ajili ya wageni sasa unabishana na mm 😂😂😂😂😂
 
Hzi ni estate 95% wame rent so niambia who own those estate ?? Au nikusaidie 🤣🤣🤣 na je ukiweza ku rent unakua middle class au nyinyi middle class munawachukuliaje
Do u know people buy those houses, yaani ukiona estate unadhanibwatu wamekodisha😂😂😂😂., ata apartment watu wananunua na kuishi, especially eastlands most no personal houses in a well organized gated communities., Prove me wrong hapa.😂😂😂😂., Dar is slum/village..,
 
Umeona nimekasirika ama unalazimisha fikra zako😂😂😂😂., ndio nakwambia uko na Kiswahili tupu😂😂😂., chochote unachofikiria kwa akili yako ndio basi 😂😂😂., pole bro.,😂
🤣🤣🤣🤣 niambie mm who own estate in eastland au nikusaidie sasa hvi manake sichelewi kukusaidia mtu kama wewe
 
Dar es salaam middle na lower middle class residential kwa uzuri wake😂😂😂😂😂., Next pictures am here...,
Nakwambia maskini wa dar ana nafuu mara mia kulik Mtu anaiishi hapa 🤣🤣🤣👇👇👇 kibera alone imebeba watu million 2 na laki tano bado tubishane nn 🤣🤣🤣
29452548-CFED-4F48-AE44-7C9A5603A130.png
 
Hzi ni estate 95% wame rent so niambia who own those estate ?? Au nikusaidie 🤣🤣🤣 na je ukiweza ku rent unakua middle class au nyinyi middle class munawachukuliaje
Mtanganyika, huwezikuwa na ubishi asubuhi hadi usiku. It doesn't change any facts. Hizo nyumba unaita ni za mainvestors nyingi sana zinajengwa kwa ajili ya wanunuzi, na wanaozinunua na kuzimiliki ni wakenya. Unakumbuka nikikuambia wakenya wako na purchasing power? That's what I meant.

Kuna baadhi ya projects za nyuma ambazo zinajengwa specifically kwa ajili ya kuuza wala sio kurent. At the end of the day, wakenya wengi end up owning decent houses than hizo ushuzi zenu mlizojaza hapo Dar that you proudly call dreamhouses. Najua gated communities nyingi sana ambazo zinajengwa kwa minajili tu ya kuuza. I can mention so many of them here
 
Back
Top Bottom