komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Wakenya wana majumba mzee hzo pumba zako hata haziwezi badilisha taswira yyte[emoji23][emoji23]Wana majumba yakwapi??? Ww unaniona mm wakuja ama ?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakenya wana majumba mzee hzo pumba zako hata haziwezi badilisha taswira yyte[emoji23][emoji23]Wana majumba yakwapi??? Ww unaniona mm wakuja ama ?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yah pale karibu na millenium tower c ndio?Mi sijui aisee ila design za makaburi zipo wangeenda hata makumbusho pale wakaona! Labda ndo familia imeona ndo kumuenzi Rais wa nchi vyema!
yap yanapendeza miaka na miaka!Yah pale karibu na millenium tower c ndio?
🤣🤣🤣🤣 labda sio mm naeijua hio nchi kama kuna kenya nyingine dunia hii sawaBwahaha!!umehamisha goli tena[emoji23][emoji23]
Wakenya wanamiliki majumba yani heri ukatulia hvo hvo jamani..
Unaona jinsi amebadilisha gear sasa?! 😂 😂 😂 It's no longer about Kenyans not being able to own land and houses. Sasa imekuwa ni kabila fulani wanamiliki ardhi na nyumba but can't sell to other tribes. This guy is the most stupid of all Tanzanians in this forum. His level of desperation is on another levelUmelishwa pumba kijiweni[emoji23][emoji23]
Mkenya km anauza ardhi huangalia pesa kwanza mkikuyu bora ufikie bei tu[emoji23][emoji23]
Mm nikaedit kwani siijui kenya ama??🤣🤣🤣Nenda ka edit[emoji23]
Si utakufa kw presha jamani
Hamuna uwezo wakuown land na ww umesema mwenyewe land in nairobi ni wxpensive sio sh mbili na bado majority ni maskini watamiliki vp ardhi na nyumba na ukasema ww una urithi ushagoo 🤣🤣🤣 sasa sijui wapi unakwama wewe lakini ndoto ya kumiliki nyumba nairobi haipo kwa wengi sana ukiwemo wewe 😂😂😂😂😂Unaona jinsi amebadilisha gear sasa?! 😂 😂 😂 It's no longer about Kenyans not being able to own land and houses. Sasa imekuwa ni kabila fulani wanamiliki ardhi na nyumba but can't sell to other tribes. This guy is the most stupid of all Tanzanians in this forum. His level of desperation is on another level
Majumba au kurent estates ??? Eleweka kidogo hapo🤣🤣🤣🤣 eti ukiweza kurent bedsitter nawewe middle class nyama ya bataWakenya wana majumba mzee hzo pumba zako hata haziwezi badilisha taswira yyte[emoji23][emoji23]
Jamaa kakasirika[emoji23][emoji23][emoji23]anasema middle class hawezi afford 14million, kwhyo kwake hizi nyumba ni za matajiriNi watanzania wanazinunua.
Hata hizi hapa ni watanzania wanazinunua
View attachment 1789851View attachment 1789852View attachment 1789854View attachment 1789855View attachment 1789856View attachment 1789868View attachment 1789871View attachment 1789872
Si nimekuambia ni watanzania wanazinunua. Zinajengwa watanzania wazinunue kwa sababu wako na purchasing power kubwa kushinda wakenyaNani ana 14m ksh nani ni middle gani kenya ana pesa ya kulipia nyumba na kununua kwa mshahara gani kwa maisha gani 🤣🤣🤣👇👇 na wewe mwenyewe umesema kununua ardhi nairobi sio sh mbili View attachment 1789874
nilikwambia 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇
![]()
Why more Kenyans cannot afford to buy homes | CNBC Africa
Cost of housing in Nairobi has surged 10 fold in the last 15 years, with the cheapest houses rising from four thousand dollars to 38 thousand dollars, blocking out potential buyers from the market.www.cnbcafrica.com
Kwa hivyo Kenya nzima ardhi iko tu Nairobi? How do you even reason?Hamuna uwezo wakuown land na ww umesema mwenyewe land in nairobi ni wxpensive sio sh mbili na bado majority ni maskini watamiliki vp ardhi na nyumba na ukasema ww una urithi ushagoo 🤣🤣🤣 sasa sijui wapi unakwama wewe lakini ndoto ya kumiliki nyumba nairobi haipo kwa wengi sana ukiwemo wewe 😂😂😂😂😂
BBI ispopita mi naachana na ishu za siasa, jamaa wamepanga safu we subiria utajionea..siasa zetu huwezi zielewa kamweMbona imeishia njiani sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na zile 14b ksh zikwapi zimeliwa na wajanja
Wakuja kwn we waijukia kenya wapi[emoji23][emoji23]Wana majumba yakwapi??? Ww unaniona mm wakuja ama ?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mzew huijui kenya[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] labda sio mm naeijua hio nchi kama kuna kenya nyingine dunia hii sawa
Huyu ako na hasira za kijinga sana. As if sisi ndio tulifanya wajaze fishing village yao na dreamhouses kila cornerJamaa kakasirika[emoji23][emoji23][emoji23]anasema middle class hawezi afford 14million, kwhyo kwake hizi nyumba ni za matajiri
Sema muna rent pesa ya kununua hamuna mpaka dunia itasmama 15m ksh mshahara wenyewe 30k shs hapo bado makato ya serekali hapo hujala hapo hujalipa rent hapo hapo bado transport hapo hapo bado stima na maji hapo hapo hujavaa 🤣🤣🤣🤣🤣 acheni masikhara nyinyiSi nimekuambia ni watanzania wanazinunua. Zinajengwa watanzania wazinunue kwa sababu wako na purchasing power kubwa kushinda wakenya
Naomba utafute slums maali ziko uwawekee wenzio humu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 1789842
Everyone is welcome in the land of freedom
Ameruka futi kumi[emoji23][emoji23]Unaona jinsi amebadilisha gear sasa?! [emoji23] [emoji23] [emoji23] It's no longer about Kenyans not being able to own land and houses. Sasa imekuwa ni kabila fulani wanamiliki ardhi na nyumba but can't sell to other tribes. This guy is the most stupid of all Tanzanians in this forum. His level of desperation is on another level
Mm nikasirikie labda niwe siwajui nyinyi ndio ntakasirika 🤣🤣🤣🤣 na haitatokea kua afford mpaka dunia inasmama kwa mshahara gani 🤣🤣🤣🤣🤣Jamaa kakasirika[emoji23][emoji23][emoji23]anasema middle class hawezi afford 14million, kwhyo kwake hizi nyumba ni za matajiri
Huijui mzee, narudia tena..huijui kenya mzee[emoji23][emoji23]Mm nikaedit kwani siijui kenya ama??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]