Leo
Nicxie amejilipua, kaweka zile picha huwa tunasema za upande upande, yn leo ndio kila kitu kaweka hadharani aloo, hakuna sehemu ikakosa ushuzi Kenya, yn maslums kushoto kulia aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watanzania mmeona tulichokuwa tunasema humu kwamba Kenya ni mavi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo jamaa kaji expose mwenyeewee wala hajashikiwa mtutu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Oya
ichoboy01 mpe ulinzi
Nicxie mana Wakenya wenzie watamuua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maeneo yao wanayokesha kulinganisha na Tz yote yana mauchafu ya slums kila kona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka kidogo nife leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna battle hapa wakuu, oyaa wakuu mpeni ulinzi
Nicxie kashawavua nguo ndugu zake huku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wenzie wanaficha yeye kawalipua [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Woooiiii [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 1788821View attachment 1788822View attachment 1788823View attachment 1788824View attachment 1788825View attachment 1788827View attachment 1788828View attachment 1788829View attachment 1788830View attachment 1788831View attachment 1788832