Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uninuo kuna majumba yakihari tena acha kabisa hio sehemu isikie hvo hvo labda hujafikishwa sehemu za adabu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ ukija nitafute mm nikutoe tongotongo zako kwa gharama zangu mm hakikisha unanitafuta
Hahaha hajawahi fika ununio

Hata posh homes za west hazifui dafu kwenye majumba ya ununio na thamani ya beach plots zake
 
Sold to who ?? Nani ananunua estate ?? Nani ??? Hvi wewe unaniona mm sijui maisha ya kenya au ???
Investor builds a gated community - people buy units - investor gets his money back. Simple as that๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Investor builds a gated community - people buy units - investor gets his money back. Simple as that๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Ok investor build hilo najua nasina shaka so who buy?? Nani ananunua kwa masharti haya kwa mshahara upi๐Ÿ˜๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ na kama investor hakupata wateja wakuuza hufanya nn???
B653504D-19BF-471F-9BA4-B46593041692.jpeg
 
Investor builds a gated community - people buy units - investor gets his money back. Simple as that๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

76D5D306-79DD-4CCE-9B77-2C1677D597C8.jpeg
 
TBT: KIA, the airport that has hosted Air force One many time than any other airport in East and central Africa!










 
Ok investor build hilo najua nasina shaka so who buy?? Nani ananunua kwa masharti haya kwa mshahara upi๐Ÿ˜๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ na kama investor hakupata wateja wakuuza hufanya nn??? View attachment 1789615
Gated communities are ment for selling not renting. incase of no buyers they will remain idle until when buyers come.

But in kenya theres a huge property demand that' s why we dont have ghost cities like in angola or china. Investors will continue building until this country is filled.

Example,
IMG_20210518_151056.jpg
 
Yametukuta ndugu! Sema kinachotakiwa ni kupiga kampeni ya kufa mtu, watu wakatae kupima, lockdown na chanjo.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] mkuu lazima upimwe tena kwa kutumia kipimo cha kichina,Mzee wa propaganda keshaoza huko na habari zake
 
Anaemiliki sacco ni nani ??? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Twende taratibu mm sitaki hasira kabisa mm nachotaka uelewe kwamba wakenya wengi maisha yao ni kurent na sio kuown land or house ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

mm narudia point yangu hata hzo estate hawamiliki watu zinamilikiwa na mashirika ya serekali na taasisi za waty binafsi wengi wana rent na hao vigogo hutumia kama business ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Sasa umeenda kwa anaemiliki sacco?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ichoboy01 you are an idiot for real๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚., SACCO is owned by group members, haina mtu binafsi, kwani Tz haina SACCOs? In Kenya pia matatu zina sacco, u can't operate psv without belonging to a SACCO., and from sacco they take loans and invest, ndio maana in Kenya most matatus niblatest models๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.,
Which estates are owned na hizo taasisi zako uchwara?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ yaani unalazimisha ukweli imekuudhi vibaya sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ , enyewe wewe ni ignorant kabisa., uko na reasoning gani hii?.,๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚., unalazimisha fikra zako kwa Kw nchi yangu., Ulikua umelishwa propaganda hadi basi, Leo hii unashangaa sio vile?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚., jipe shughli kilaza๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
DSM April 2021 Progress Video: Dar to Morogoro
Wakenya karibun mtoe tongotongo [emoji91]

Hivi lile jengo la pembeni yake ndo basi tena au? Maana niliona kama la headquarters Dodoma linakaa tofautitofauti! Waandishi wa Habari mbona kila siku mnaenda kwa Kadogosa ila hamumuulizi hili?
 
Mzee Saccos are not owned by individials nashangaa hujui, kwan hamsomi business lazyland๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Anajiumbua kishamba sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.,yaani Tz hawana SACCOs? Ndio maana ni masikini wa kutupwa! Do they even have merry go round thing? Kama ile ya wa mama., chama thing?., ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mm huyo nishaachana naye cku nyingi, ninachojua mimi ni kwamba kwa sasa tunaenda kwa kudra za Mwenyezi Mungu.
[emoji3516][emoji3516][emoji22][emoji22][emoji22][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Gated communities are ment for selling not renting. incase of no buyers they will remain idle until when buyers come.

But in kenya theres a huge property demand that' s why we dont have ghost cities like in angola or china. Investors will continue building until this country is filled.

Example,View attachment 1789634
Mm unanielewa au hunielwi ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ nakwambia kununua watanunua politicians, matajiri baadhi na taasisi lakini wakenya 85% mutabaki ku rent kutafuta pesa ya kodi na ya kunywa uji lakini ndoto ya ya ardhi na majumba iacheni ibaki ndoto mukilala muote ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Ok investor build hilo najua nasina shaka so who buy?? Nani ananunua kwa masharti haya kwa mshahara upi๐Ÿ˜๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ na kama investor hakupata wateja wakuuza hufanya nn??? View attachment 1789615
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View attachment 1789620
 
Hehehe Kuna siku we were driving around in Dar nikiwa na Mtz, nikamuomba anipeleke sehemu wanakoishi matajiri, yaani upper class kabisa kwenye majengo ya kifahari ambapo wanapakubali wote, tulizunguka kanipeleka sijui Ununio mara sijui wapi, nilitafuta nini cha kulinganisha na mitaa ya kifahari hapa Kenya nikakosa.
Watoe wapi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚., si umeona wametapatapa hadi basi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom