Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Utachoka bure si umeona what he is posting๐Ÿคญ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚., am working as I check posts humu., yaani ichoboy01 is my guy๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜๐Ÿคฃ , atajitetea hadi basi๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mimi pia niko job hapa ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ jamaa nimemkamata pabaya ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
1621257104909.png


1621257390149.png


1621257381088.png
 
I
Usitulaumu kwa uzembe wenu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ punguza wivu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Sio uzembe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ point of correction, ni umasikini, rogar that, ni umasikini., yaani uchumi hafifu ๐Ÿ˜‚., So wivu ndio inamsumbua kwa sasa๐Ÿ˜‚
 
Coco njoo uone mido class residential ya Dar๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚., nilijua utaingia box๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคญ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚., thank u., Sasa leta drone view nione kama itakukomboa., pengine itasaidia kidogo.,๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.,

Class Residential in Nairobi ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
1621258206531.png
 
Class Residential in Nairobi ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
View attachment 1788538
Umekosea jibubkabisaaa na hautapata ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.,
Go back to Dar CBD gorofa tatu na three level., etc etc., Mapicha mwaga., mengine yalikushinda., u can't cook nor conjure from anywhere., haipo.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.,
 
Am stepping out kwa muda., baadaye watani., have had an afternoon ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚., ichoboy01 ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘.,
 
Umekosea jibubkabisaaa na hautapata ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.,
Go back to Dar CBD gorofa tatu na three level., etc etc., Mapicha mwaga., mengine yalikushinda., u can't cook nor conjure from anywhere., haipo.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.,
๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ Nairobi
1621258602261.png
 
I

Sio uzembe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ point of correction, ni umasikini, rogar that, ni umasikini., yaani uchumi hafifu ๐Ÿ˜‚., So wivu ndio inamsumbua kwa sasa๐Ÿ˜‚
Sawa mkuu๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ wasitulaumu kwa umaskini wao๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Yametukuta ndugu! Sema kinachotakiwa ni kupiga kampeni ya kufa mtu, watu wakatae kupima, lockdown na chanjo.
Subutu, tanzania polisi ndio kila kitu.
Nyie ni km wachumba kwao, jamaa mkipanga wao wanapiga show of force mitaani siku moja kila mtu anakunja mkia na kurudi kwake
 
Punguza mikwara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] where do majority of dar residents live[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwan hilo swali ni gumu vipi[emoji16][emoji16][emoji16]
Hilo swali hawawezi kujibu zaidi ya kuletewa picha bila majina ya mitaa[emoji23][emoji23]
 
Hawana makazi halisi ya wakenya wao watapost estates tu hakuna kingine ukiulizwa owners utaambiwa politicians na investors kazi yako kupanda bedsitter hawana fikra ya kiwanja wala mawazo ya nyumba ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ na akibisha tu nitag
Wazee wa bedsitter ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom