stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 39,528
- 39,760
Or you want a flying toilet graph 😂😂😂😂While you are at it I guess you should also put the graph that Tanzanians fart more than Kenyans 🤣🤣🤣
Or you want a flying toilet graph 😂😂😂😂While you are at it I guess you should also put the graph that Tanzanians fart more than Kenyans 🤣🤣🤣
Kwan news hua hampati au 😂😂😂😂By whom?.. Kinjekitile Ngwale ???.. 🤣🤣🤣🤣
Muacheni jamaa ana stress na biashara yake ya maziwaMpuuzi wewe huwa ukiambiwagwa ukweli unatoa ngebe sana. Mzee wa wa kutofautisha pharmacokinetics na pharmacology.
The whole city ni vumbi na jua kali 😂😂😂😂😂Something so juakali 😀😀😀
Hii ni kanyaga twende muda ni mfupi 😁😁Ultra modern railway heading to Talanta stadium 👇🏾 😆😆😆 reeli ya kutandikwa juu ya udongoView attachment 3678342View attachment 3678345View attachment 3678346
What else did they tell you 😂😂😂😂You are incoherent.
You changed your username to kosugi or from kosugi? Secondly if i changed my username right now, will my account suddenly read as joined in September 2026? Sema tu ulikuwa banned uka create another account 😅
Haya continuing with your inconsistencies, building other projects does not change the fact that you have a failed bagamoyo port project..you are deflecting.
Walichukua isuzu 2 wakawapangisha foleni zikawa zinapita kwenye lipstick, mwishowe hali ikawa nzito 😂😂😂Hata nilichokiongea hujakielewa fala wewe. 2015 I had a different username, I changed it to Kosugi. From 2015 username to kosugi and from kosugi to Khaibar.
Hata hiyo lugha mnayojivunia hamuielewi.
Na sijawa banned na sikuwahi kula ban hapa JF ukitaka naweza kukujibu kwa acc ya Kosugi.
About Bagamoyo you can't say it is a failed project while it is still on paper. Not established yet on actual ground how can you call it a failed project.
Vivid example of failed project is Nairobi BRT ambayo mkapaka lipstick "BRT only" kwenye road lanes na hadi leo hakuna brt buses zinazopita. Infact in East Africa Kenya is the leading country in failed/white elephant projects.
Hawa wenzetu wanaishi miaka gani?
View: https://www.facebook.com/reel/1459157552942470/?mibextid=CDWPTG
Timu ambayo haijacheza any football past 7 years ndo mnadraw nayo 😂😂😂😂Why do you forget so fast mlipigwa na Guinea Bissau tena nyumbani hapo Tandale?
You are obsessing about Kenya which drew its match unasahau ulipigwa za uso nyumbani! What kind of obsession is this?
Hawa wakunya wana matatizo ya akili, nimekuta video Tiktok mwenzao amepanda Air Tanzania, kufungua comments section wanamind kwanini amepanda Air Tanzania.Muacheni jamaa ana stress na biashara yake ya maziwa
Hawa wakunya wana matatizo ya akili, nimekuta video Tiktok mwenzao amepanda Air Tanzania, kufungua comments section wanamind kwanini amepanda Air Tanzania.
Enyewe umasikini sio poa. 😂😂😂
Hii issue ya refinery ya dangote TZ na UG kutokuwemo kunyan wanaumia sana,usione wanajichekesha chekesha,wanajua fika nasi tutajenga refinery yetu,in short kunyan wanataka wanufaike na geography ya TZSasa kwa nini niumie na refinery inayojengwa Kenya wakati na sisi tunajenga yetu
Hiyo ndio inaitwa reli jua kali 😄😄😆😆 wanataka wafanane na Morocco eti. Jirani anachekesha sana, angalia upuuzi wanaoujenga sasa, kazi mbovuu. Wanatandika taruma juu ya udongo aisee. Mvua zikinyesha kali reli yao itasombwa na maji.
I thought I was talking to someone with a brain. Forgive me. 🚮🚮Hapa unaongea vitu gani wewe jitu zima fala.? Unavyotaka kuweka huu mjadala vyovyote vile iwe ni kwa idadi ya nyumba au iwe ni kwa ukubwa wa eneo, 10% ya nyumba zilizopo Dar ni mara mbili au zaidi ya mara tatu ya 40% ya nyumba zilizopo Nairobi. Nadhani unajua tunavyojenga nyumba zetu. Halafu hako ka nairobi eneo linaloishi watu si 600 sq. Kilometers, usilete habari za uongo uongo hapa, nilishakuonya. Eneo la hako ka mji linaloishi watu ni 300+ square kilometers, the rest ni mbuga za wanyama, vichaka na mapori left right and center . Stupid
Hii issue ya refinery ya dangote TZ na UG kutokuwemo kunyan wanaumia sana,usione wanajichekesha chekesha,wanajua fika nasi tutajenga refinery yetu,in short kunyan wanataka wanufaike na geography ya TZ
Kinachowauma zaidi ni mafuta yanakuja straight badala ya kwenda kuomba nja 😂😂😂😂 apo bado SGR ta tz hazijaungana walie vizuri 😂😂😂 na sio kwamba hatuna wateja basi tu, tuna agenda na uganda alafu sehem zingine zinafuataHii issue ya refinery ya dangote TZ na UG kutokuwemo kunyan wanaumia sana,usione wanajichekesha chekesha,wanajua fika nasi tutajenga refinery yetu,in short kunyan wanataka wanufaike na geography ya TZ
Ni vile akili tu hamna,si mlikua mnatupigia kelele humu kuhusu sgr ya diesel,kilichowakuta siku ya uzinduzi wa safari ya dar -moro ndio siku mliyoanza kuandama ruto must go