ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,216
- 163,879
Hio ni ubungo tu hakuna sehemu yoyote nyingine umegusa hapo zaidi ya ubungo 🤣🤣🤣🤣🤣 unatafuta mlango wakutokea tulia urambe dawaMazingira ya hiyo picha unayokejeli na mazingira yanayozunguka hii yenu gani afadhali? Hii yenu majengo yako wapi?
View attachment 1784221
Aliyesema nyani haoni kundule hakukosea