The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
40% iko wapi hapa, hivi mbn tunabishana upuuzi, yn huoni aibu kubishana kwamba Kenya ina mafukara wengi kuliko Tz?Wewe na hao wenzako hamna tofauti - wote vilaza tu. Piga hesabu upate 40% ya wakenya ni watu wa ngapi kisha linganisha na 28 million people in Tanzania ambao wameshadhibitishwa kuishi under extreme poverty. Na kumbuka yenu ni extreme poverty