Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

pvmUTPGh.jpg
2vEykFTh.jpg


80zMdfPh.jpg
 
History? Report ya last year October inakuwa history? Hata mwaka haijaisha. Leta ripoti ya World Bank inayosema hiyo idadi imepungua ndani ya hizo miezi saba
Utachoka bure ata uki wapea link hawana uwezo wa ku understand a report., wanajitia hamnazo, aibu hawataki, wanaumia kimya kimya wahurumie., 😂😂😂
 
Bado sn hawa watu, ni vile tulikaa kmy tu ndio maana ukaona walikuwa ranked juu yetu, hebu angalia jinsi palivyo peupe, hakuna majengo kabisa, ss hii ndiyo unataka kufananisha na bongo hii?
Mazingira ya hiyo picha unayokejeli na mazingira yanayozunguka hii yenu gani afadhali? Hii yenu majengo yako wapi?
images (46).jpeg

Aliyesema nyani haoni kundule hakukosea
 
Kwenye ile picha cbd yenu yote inaonekana
That's photography. Inadepend na angle ya picha and considering ilichukuliwa kutoka mbali, it's possible to capture all the mentioned places. Just the same way you can capture the whole of Dar cbd in one single shot. Vitu zingine ni kutumia akili tu. Halafu hiyo picha mbona sioni Kilimani?

Kitu cha pili ni kwamba mwenzako alizungumzia mazingira ya ile picha ya expressway na kusema kwamba Nairobi ni peupe kumaanisha hakuna majengo mengi. Nimeleta picha ambayo ni 'nyeupe' zaidi kushinda ile ya Nairobi ila naona sasa gear zimebadilishwa hewani!
 
Bora upewe pesa karne hii kuliko kupewa misaada ya chakula...ni aibu kubwa.
Katika dini ya kislam kutoa ni sadaka, sadaka hutolewa kw yyte yule...waarabu wanatafuta fungu kw Mungu baba kw ajili ya maisha yake ya akhera
 
Back
Top Bottom