Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na nchi imewafia mkononi 🤣🤣🤣🤣 bado dawa hata hamujaanza kulipia kwani SGR ilikuaje mumesahau
Where do you get the courage to write what you write.

I'm amazed how you do constantly embarrass yourself.
 
Hawa watu wAna maisha magumu acheni kabisa 🤣🤣🤣🤣👇👇👇 bendera chuma mlingoti chumaView attachment 1783681
Sasa hapo maisha magumu inaingiliaje? Mtu mwenye ako na maisha magumu atawezaje kununua water tank apeleke kwake? You are becoming a choir master of a very boring song. Uliza World Bank wakuambie mahali maisha magumu hupatikana hapa Africa
PhotoGrid_1605162481588.jpg
 
Sasa hapo maisha magumu inaingiliaje? Mtu mwenye ako na maisha magumu atawezaje kununua water tank apeleke kwake? You are becoming a choir master of a very boring song. Uliza World Bank wakuambie mahali maisha magumu hupatikana hapa Africa
View attachment 1784042
History 😅😅😅

Now ninyi ndio most poorest globally kwenye LMIC
 
History 😅😅😅

Now ninyi ndio most poorest globally kwenye LMIC
History? Report ya last year October inakuwa history? Hata mwaka haijaisha. Leta ripoti ya World Bank inayosema hiyo idadi imepungua ndani ya hizo miezi saba
 
Wazee wa bakuli mpo
Maskini nyie, siku zote tumeambiwa wasaidieni maskini na nwenye uwezo mkopeshe ila km hana uwezo heri umpe bure...
Km hauna ukipewa balaa ni lile la kukamatiwa assets wengine wakiwaonea huruma na kuwafutia madeni kabisaView attachment 1783775
Bora upewe pesa karne hii kuliko kupewa misaada ya chakula...ni aibu kubwa.
 
Back
Top Bottom