Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaweza piga kelele hadi ulie machozi ya damu but it won't change any fact. Facts are screaming bongolala and there's absolutely nothing you can do about them. And these are the fact'sView attachment 1784568
Wanateseka sana, 😂😂🤣, vijisababu lakini wapi!😝😂🤣😂😂., Kilaza wa Mwanza ametokelezea pia., the three vilaza leo kwa pamoja exposing stupidity😂😂🤣😂🤣😂😂😂😝., leo ni sherehe za IDD wahurumie., kwanza wa eneo za pwani ya Tz., achana nao utafanya mtu anyongwe na biriani jameni🤣😂🤣🤣😂😂.,
 
World bank report 2021

Watajifanya hawafungui link [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20210514-163753.jpg
 
Leo zimbabwe ina nafuu kukiko kenya 🤣🤣🤣🤣 sisi nye nye nye nimecheka sana naona leo mwenzao kawatia kibiriti mapemaaa

 
Yani umeacha shughli zote za eid ili uniquote,, 😁😁😁 watu kwenu wanadhan unafanya kitu ya muhimu kumbe uko jf😂😂😂😂😂
Siku yangu yakufurahi sasa lazma nifurahi nanyie au namna gani 😀😀😀 naona mwenzenu leo kawatia njiti mapemaa
 
Wanateseka sana, 😂😂🤣, vijisababu lakini wapi!😝😂🤣😂😂., Kilaza wa Mwanza ametokelezea pia., the three vilaza leo kwa pamoja exposing stupidity😂😂🤣😂🤣😂😂😂😝., leo ni sherehe za IDD wahurumie., kwanza wa eneo za pwani ya Tz., achana nao utafanya mtu anyongwe na biriani jameni🤣😂🤣🤣😂😂.,
kuna mwengine apo waga halali ameshinda akitafta news za kenya mchana usiku, ..ako twitter,mara facebook..najua akiskia vitu kama lamu port litazinduliwa ama nairobi express ..anahara kuhara...ama ako na anashikwa na pressure ..niko sure saa zengine waga anajisahau anaita wenzake 'kenya''..kenya inampa nightmare...ushawaskia skia ile wimbo wa Mariah carey ft gucci mane-Obsessed...i dedicate him hilo nyimbo...

 
Najua unakuwanga pumba na so kupenda kwako ila nataka upige hesabu za haraka kama utaweza.

40% ya 52 million people ni watu wangapi? Hesabu rahisi hiyo. Fanya haraka kisha nipe jibu
Huyu kilaza hakuenda shule., 🤣🤣😂😂😂🤣🤣😂😂., ni muongo sana nilishamgundua😂🤣🤣🤣😂., nacheka sana Leo, kwanza akitokea ni raha, kanajua kujitetea sana😂🤣🤣😅😂😂🤣, na kukwepa uki mcorner., huwa anachangamsha huu uzi na uabunuasivwake 🤣😂😂😂🤣., jamaa wa vipicha na repoti uchwara.,
 
Back
Top Bottom