huwa tunawashangaa mnavyoshoboka na wazungu. I’ve personally lived in a corporate for years so najua utamaduni wenu wa kusujudia wazungu, na hii imeenda mbali zaidi kiasi cha kuaujudia hata wahindi mabosi zenu sababu ya stupid & Blind capitalism policies your senior land grabber Jomo Kenyatta adapted .
Siku moja nilikuwa bar moja pale Sandton , wale wahudumu walikuwa wanapuuza meza yetu sababu sisi ni waafrica wakawa wanahudumia tu meza za wazungu, that’s typical you Kunyans.
Nikukumbushe tu , Kenya lilikuwa koloni la mwingereza, hata leo ni koloni la mwingereza, and eventually marekani,
Tanzania haikuwa koloni la mwingereza
ndio maana we do show anyone the good middle finger without giving danm rat’s ass. Yaani siku ile ulisikia Samia Suluhu Hassan anaambia marekani “Who are You” haikuwa bahati mbaya, that has been the practice.