Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,140
- 17,878
Ndio maana nilikuuliza hiyo picha ya expressway ipo cbd? Mbona unajikanganya mwenyewe? Unazungumziaje cbd wakati picha yenyewe iko kilometer kadhaa kutoka cbd?Kwahiyo me naweza nikasema sehemu nyeupe tu bila kuwa na mantiki? Peupe namaanisha eneo kubwa kutokea CBD ni peupe yn majengo machache huwezi fananisha na cbd yetu. Hebu ile picha yako ya Dar zen ujijibu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]