Trubarg
JF-Expert Member
- Jan 8, 2020
- 4,394
- 7,242
Mbona umebanwa na mharoUnaumwa kweli 😂 😂 😂
Mbona umebanwa na mharoUnaumwa kweli 😂 😂 😂
Aibu yao hiyo!
Nimeona mojaKwani we umeona ngapi mkuu..
Watu wako KDB budaa acha kujiabisha
Kwenye ile picha cbd yenu yote inaonekana
Aibu yao hiyo!
Tweet ya 2015 hiyo now tupo 2021History? Report ya last year October inakuwa history? Hata mwaka haijaisha. Leta ripoti ya World Bank inayosema hiyo idadi imepungua ndani ya hizo miezi saba
hawa jamaa
hawa jamaa wako na ma apartments kweli?
😅😅😅😅😅 'CBDs' zao zote zipo kwenye hicho kispace actually whole Nairobi ipo hapo 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Oya nimeona unanifuatilia sana comments zangu. Ninakuonya, huwa sifanyi upumbavu kama wako.
Huyo jamaa bana, kuna siku alipost gari la maziwa bovu alafu akaandika 'wakenya mnalo'😁Maskini akipata, matako hulia mbwata. Yani sisi hizi vitu tumekuwa nazo miaka nyingi sasa. wao wamepata moja juzi sasa servers zinajazwa😂 😂 😂
View attachment 1784100View attachment 1784101
Acha kulazimisha mambo wewe. Hiyo ni Tweet ya last year mwezi wa kumi (2020). Taarifa yenyewe ndio hii hapa dated 20th December 2020Tweet ya 2015 hiyo now tupo 2021
Na tupo LMIC ambayo wakati hiyo report inatoka hatukuepo now ninyi ndio mnaongoza globally kwa ufukara kwenye kundi la LMIC
Mimi nmeona mbili mkuuNimeona moja
😂😂😂😂😂 dar kama dar
Huo ni mji wa zamani Sinza😂😂😂😂😂 dar kama dar