Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa ndo competitors wetu, jamani muwaombee
IMG_20210514_133644_070.jpg
 
Acha kulazimisha mambo wewe. Hiyo ni Tweet ya last year mwezi wa kumi (2020). Taarifa yenyewe ndio hii hapa dated 20th December 2020

Kitu cha pili, just because you don't understand English is not our problem. Hiyo taarifa unayotaja ya LMIC ilitaja nchi za Africa (SA, Nigeria and Kenya) which top sub Saharan Africa in terms of the amount of money needed (in dollars) in order to break into 1% of dollar millionaires which is $20k in the case for Kenya (if I can remember it well, I might be wrong though and stand corrected). Just because Tanzania wasn't mentioned doesn't mean you are doing better than us. It only means that you need to upgrade your English comprehension levels
We mpumbavu kweli huoni hiyo ni tweet ya 2017? Research ya 2014 🤣🤣🤣
 
We mpumbavu kweli huoni hiyo ni tweet ya 2017? Research ya 2014 🤣🤣🤣
Ewe mwerevu leta evidence kwamba ni ya 2017. And why do you want to to research ya 2014 wakati taarifa niliyoleta ni ya 2020? Are you listening to yourself or are you just plain stupid?
 
Ewe mwerevu leta evidence kwamba ni ya 2017. And why do you want to to research ya 2014 wakati taarifa niliyoleta ni ya 2020? Are you listening to yourself or are you just plain stupid?
Hiyo tweet ni ya 2014, kichaa
 
Unapuyanga sana we jamaa
Kwa hivyo wewe pia unamaintain hiyo ni taarifa ya 2014? Aya basi saidia mwenzako kudhibitisha madai yake kwamba hiyo tweet World Bank waliitoa 2014 na sio 2020
 
That's photography. Inadepend na angle ya picha and considering ilichukuliwa kutoka mbali, it's possible to capture all the mentioned places. Just the same way you can capture the whole of Dar cbd in one single shot. Vitu zingine ni kutumia akili tu. Halafu hiyo picha mbona sioni Kilimani?

Kitu cha pili ni kwamba mwenzako alizungumzia mazingira ya ile picha ya expressway na kusema kwamba Nairobi ni peupe kumaanisha hakuna majengo mengi. Nimeleta picha ambayo ni 'nyeupe' zaidi kushinda ile ya Nairobi ila naona sasa gear zimebadilishwa hewani!
Kwahiyo Ubungo interchange cku hz ipo CBD, jamani Wakenya mbn mnaiogopa sn Ubungo interchange
 
Back
Top Bottom