Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Basi watanzani wenye hela zao wanaleta watoto wao kusomea kutokea la kwanza hadi form4 huku.
Mbona wanafunzi wa tz kutoka primary ni wengi
Mwambie pia Watoto wa Faarmajo wanasomea Nairobi,Mbona hawakuenda Ethiopia🇰🇪🔥🔥
 
Unawazungumzia wa turkana na wapokot ngoja uone

njaa haina baunsa hata uwe na kifua kama tembo njaa inakuondoa tu
Wakiulizwa makaburi wanakula kubwa machifu wao
Walipoulizwa makaburi jamaa walikula kubwa, huo wakati uhuru alikua nje ya nchi..siku tatu tu jamaa walikiona story ikaisha
20210513_234859.jpg
 
. Tunauza nguo mpaka Alabama Us .. kwahyo usijidanganye eti mnatuvalisha nguo
Hehehe!!tulianzaga zamani, tangia uhuru tunawavisha nyie..yani watz ni tabu, wakipata kitu basi hujikuta wao ndio wa kwanza duniani..
Msione vile hatupost lkn kenya viwanda vipo
images.jpeg-11.jpg
images.jpeg-12.jpg
images.jpeg-13.jpg
 
Rutu kawadanganya tena mwanasiasa anaeutamani urais kua turkana hakuna mtu anakufa kwa njaa🤣🤣🤣🤣 kwani turkana wameanza jana au juzi kufa kwa njaa mbona hilo kwao ni kawaida



 
Ngoja nikwambie kitu bro hawa watu huwa wanaona tumepiga sana bao kutokua na slum sasa hua wanajiuliza kwann slum hakuna tanzania 🤣🤣🤣🤣 sasa wanajaribu kuforce ili walau tufanane wasionekane wao wamepotea sasa wanalazmisha tupotee wote ili tusipate kuwabeza 🤣🤣🤣 sasa chakushangaza hata nyani alieko australia anajua hiiii👇👇👇👇👇
View attachment 1783670
Because All TZ is Slum😜
 
Mwanasiasa ruto ndio aliwadanganya hvo
Hyo kafa lini
Alafu mbona walishindwa kuonyesha makaburi
Narudia tena, sisa za kenya huziwezi...2020 ilikua corona imepamba moto sasa misaada ikaonekana zii jamaa turkana hakukua na watu wenye njaa
 
wenzako twitter wanalia huku wakishangilia
Tia pua uone km utabaki salama
Wengi wao wale ni watu na familia zao na wanaishi freshy..yani unaona wakenya twitter wanalalmika basi unafikiria wale ni makapuku..
Kapuku gani hyo umpate anahangaika twitter..
 
Rutu kawadanganya tena mwanasiasa anaeutamani urais kua turkana hakuna mtu anakufa kwa njaa kwani turkana wameanza jana au juzi kufa kwa njaa mbona hilo kwao ni kawaida



Hehehe!!utabaki na kawadanganya, km vidume wasizike au wakizika basi waonyeshe makaburi..
Ruto for president, hakuna kuchekeana
 
Back
Top Bottom