Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu, Hii ilibidi iwe hivi Kulingana na masharti ya ile pesa kutoka WB.
Mama hakuwa na namna hata JPM angekuwepo angebana tu ila mwisho wa siku angeachia kiaina kama ilivyofanyika sasa...soma hiyo thread utaona namna itakavyo kuwa.
Wazee wa bakuli mpo
Maskini nyie, siku zote tumeambiwa wasaidieni maskini na nwenye uwezo mkopeshe ila km hana uwezo heri umpe bure...
Km hauna ukipewa balaa ni lile la kukamatiwa assets wengine wakiwaonea huruma na kuwafutia madeni kabisa
FB_IMG_16208467228146733.jpg
 
Ngoja nikwambie kitu bro hawa watu huwa wanaona tumepiga sana bao kutokua na slum sasa hua wanajiuliza kwann slum hakuna tanzania sasa wanajaribu kuforce ili walau tufanane wasionekane wao wamepotea sasa wanalazmisha tupotee wote ili tusipate kuwabeza sasa chakushangaza hata nyani alieko australia anajua hiiii
View attachment 1783670
Kenya wamamiliki hub ya slum a.k.a ultra outdated slum
 
Wazee wa bakuli mpo
Maskini nyie, siku zote tumeambiwa wasaidieni maskini na nwenye uwezo mkopeshe ila km hana uwezo heri umpe bure...
Km hauna ukipewa balaa ni lile la kukamatiwa assets wengine wakiwaonea huruma na kuwafutia madeni kabisaView attachment 1783775
Nyani kweli haoni kundule nyie mnapewa hadi chakula na mwarabu halafu unapiga kelele hapa
 
Zaidi ya robo karne mchina amewakamata pabaya unafkiri hio miundombinu after 30 yrs itakua kwenyw hali gani just take a dream
Kuna barabara tangia mkoloni zipo itakuja hyo 30yrs
Hata wajukuu hapo watakuja ku enjoy, kumbe tatizo lako 30ys..usijali omba uwepo duniani mpka hyo 30 iishe basi
 
Vyakula mbona kawaida tu
Lkn hitoskia siku eti sisi tunajengewa flyover km donation
Tanzania ni somalia iliyochangamka
Kuna choo mmejengewa tena mkaandikiwa muache kukata gogo vichakani. Ile picha hipo humu sina mda wa kuitafuta
 
Kuna barabara tangia mkoloni zipo itakuja hyo 30yrs
Hata wajukuu hapo watakuja ku enjoy, kumbe tatizo lako 30ys..usijali omba uwepo duniani mpka hyo 30 iishe basi
Umafkiri watu wa zamani ni kama wasasa huoni mfano wa gari la zamani na leo 🤣🤣 siku hzi mtu anatengeneza gari liharibike ununue spear afanye biashara na bahat mbaya sasa mumempata bingwa wakufanya mchezo low quality 😂😂😂 sijui utasema nn

hio miaka 30 sio tu uhesabu miaka hesabu na dhiki za kulipa pia 🤣🤣🤣 mafuta bei juu alaf unaensa kutana na mchina anasubiria ushuru pale 😂😂😂😂
 
Vyakula mbona kawaida tu
Lkn hitoskia siku eti sisi tunajengewa flyover km donation
Tanzania ni somalia iliyochangamka
Sisi wanaleta wenyewe nyie munaletea kwa huruma watu wanakufa na njaa sasa huruma ndio inawafanya walete chakula na mbaya zaidi ni nchi zenye jangwa 🤣🤣🤣
 
Angefanya magufuli wangesema dikteta sasa kafanya baba yao sijui watatumia neno gani🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇
 
Back
Top Bottom