Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watu wa NGOs nchi yao sasa, wafanye watakavyo.


Prof Ndlichhako:wanafunzi waliopata mimba kuendelea na masomo

Kinachofanyika ni kumchafua Magufuli as though yeye ndio alitunga sheria ya mtoto wa kike aliyeshika minba asirudi shuleni. Wakipitisha hili, media za west zitaishikia sana bango na kumchafua vyema Magufuli kua ni dikteta na mama ndio mtu sahihi huku akiachia nchi kwa wapigaji wa ndani na wakigeni.
 
To everyone👍👍👍
EF6CB568-7A07-424E-B3E4-094423A2D8C0.jpeg
 
Masikini wa mamayake😂😂😂😂., loss of contract worth 70B or loss of 70B? Si wamarekani watapea mwingine hiyo contract., 🤣😂😂.,
Kwanin wacancel contract kuna shida gani ww hujiulizi maswali ukapata jawabu 🤣🤣🤣 ukiambiwa nchi imeoza kwann unakasirika
 
Watu wa NGOs nchi yao sasa, wafanye watakavyo.


Prof Ndlichhako:wanafunzi waliopata mimba kuendelea na masomo
Mkuu, Hii ilibidi iwe hivi Kulingana na masharti ya ile pesa kutoka WB.
Mama hakuwa na namna hata JPM angekuwepo angebana tu ila mwisho wa siku angeachia kiaina kama ilivyofanyika sasa...soma hiyo thread utaona namna itakavyo kuwa.
 
ngoja nikupe ukweli leo, kwa shule za secondary, wabongo waliofeli bongo afu wanahela huwa wanakimbilia kenya na uganda, kwa vyuo, wabongo waliofeli form six afu kwao wanahela huwa wanakimbilia china kwasababu huko kufaulu na kupata cheti au degree huko ni rahis kuliko nyumban Tanzania. mdada ukiona kila mwanaume anakufata ujue you’re touchable/catchable.. na wanauhakika wa kukukula mda wowote

mnajisifia mna elimu nzuri wakat kila mwez maghorofa yenu yanaanguka
Naomba utafute sehemu upate soda baridi uwaambie bili juu yangu 🤣🤣🤣🤣
mnipe mfano wowote wa mtanzania aliepata division one form six afu akataman kwenda kenya au uganda. ni losers pekee ndo wanafikiria kwenda sehem rahis ili wapate vyeti.. nina marafiki zangu form six walikuwa wa mwisho darasan.. wote wakaenda china.. huko china kwenyewe wameishia kuwa wauza simu/pc na vyombo vya nyumban.. hawajapata hata degree wala babu yake degree

huwa najiuliza kwann waliofeli hawakimbilii US au UK, kimbilio lako ni China kwasababu China wanapokea hata mamluki wa darasan
 
Nyie wajomba Yosef Festo Nicxie na Coco reborn nyie tuliwaambia jana kwamba haya maneo sio ya Dsm slums kama kwenu uko, leo nimewaletea clear pictures za hayo maeneo alaf mlinganisha na slums zenu,twende kazi .. View attachment 1783330View attachment 1783331vs your slums View attachment 1783333View attachment 1783334View attachment 1783335NB: SISI HATUISHI KWENYE MABATI KAMA WANAYAMA
Hapo sasa mzungu ndipo anapoonekana anaakili ya miaka 300 mbele 🤣🤣🤣🤣
 
Nyie wajomba Yosef Festo Nicxie na Coco reborn nyie tuliwaambia jana kwamba haya maneo sio ya Dsm slums kama kwenu uko, leo nimewaletea clear pictures za hayo maeneo alaf mlinganisha na slums zenu,twende kazi .. View attachment 1783330View attachment 1783331vs your slums View attachment 1783333View attachment 1783334View attachment 1783335NB: SISI HATUISHI KWENYE MABATI KAMA WANAYAMA
Ngoja nikwambie kitu bro hawa watu huwa wanaona tumepiga sana bao kutokua na slum sasa hua wanajiuliza kwann slum hakuna tanzania 🤣🤣🤣🤣 sasa wanajaribu kuforce ili walau tufanane wasionekane wao wamepotea sasa wanalazmisha tupotee wote ili tusipate kuwabeza 🤣🤣🤣 sasa chakushangaza hata nyani alieko australia anajua hiiii👇👇👇👇👇
58B9A07E-6555-4417-90DB-F1B79FD0F255.jpeg
 
ndo maana nikauliza ile bombardier Dash8-400 C-GPPU tunayoiona miezi na miezi mbona haifiki Tanzania?




GAR Covers Steptoe's Success in $22M Judgment Enforcement Against Tanzania​

May 3, 2021
  • Overview
  • Professionals
  • Practices
Global Arbitration Review (GAR) covered Steptoe's judgment enforcement success in an article titled "Tanzania Pays Treaty Award to Avoid Aircraft Seizure." Tanzania paid $22 million to satisfy an UNCITRAL arbitration award issued under the Italy-Tanzania bilateral investment treaty after the Italian-owned creditors attempted to seize three aircraft purchased by the East African state following enforcement of the award in the Canadian courts. In an order dated April 22, the Ontario Superior Court of Justice lifted a freezing order obtained by British Virgin Islands-registered Sunlodges and its subsidiary against a de Havilland aircraft, stating Tanzania had paid the award in full. The payment also successfully concluded Sunlodges’ attempts in a Quebec court to seize two Airbus aircraft that Tanzania had purchased.

Steptoe London partner Matthew Coleman and associate Tom Innes represent Sunlodges Ltd and Sunlodges (T) Limited in this case in regard to the arbitration and the enforcement proceedings.

The full article can be read at GAR (subscription required).


Hii itakua sabotage nahisi,sidhani kama nchi zote zinadaiwa uwa zinakamatiwa ndege zao kinamna hii!
 
Back
Top Bottom