Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hehehe!!utabaki na kawadanganya, km vidume wasizike au wakizika basi waonyeshe makaburi..
Ruto for president, hakuna kuchekeana
Mwanasiasa kawashika akili wakat watu wanakufa na ndio maana misaada ya chakula inakuja 👇👇👇👇👇 na aljazeera pia waongo




 
Unawazungumzia wa turkana na wapokot ngoja uone 🤣🤣👇👇👇👇

njaa haina baunsa 😀😀😀 hata uwe na kifua kama tembo njaa inakuondoa tu
Njaa Ni wao wenyewe kujitakia ata ukimpa Lorry Chakula Nzima,Atauza na anunue masilaha,we Cheza na Hao watu🔥🔥
 

Kuna atakuja hapa atakuambia huyo si Mtanzania sababu ya rangi yake!mikunya mibaguzi sana aisee

2769103_Screenshot_2021-05-10_at_11.59.56.png
 
Back
Top Bottom