Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kabla hukataka kutwambia kuwa wabongo wengi hawana uwezo wa kujijengea nyumba nzuri kuliko wakenya fikiria hii fact: Nyumba nyingi Kenya (hasa mijini) hujengwa na kumilikiwa na makampuni binafsi ya real estates ilhali huku kwetu ni nyumba chache za aina hiyo. Asilimia kubwa ya nyumba hujengwa na wamiliki wenyewe. Kenyans wengi wanaoishi kwenye nyumba kali wamepanga tofauti na huku. Only a few individuals own most of your high standard residences.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wapi nimesema wakenya wako na uwezo wa juu kujenga nyumba kuliko watanzania? Huenda haya naneno ni ya kweli ila mimi sijayasema so wacha kuweka maneno kinywani mwangu.

Secondly, wacha kutegemea naneno ya kusikia. Njoo Nairobi uone idadi ya watu wanaomiliki nyumba zao binafsi. Syokimau, Utawala, Saika, Kahawa Wendani, Garden estate, Lang'ata na Ruai ni baadhi tu ya maeneo ambayo nyingi za nyuma zilizopo huko ni za watu waliojijengea. Ni nyumba nzuri tu na hayafanani na zile dreamhouses za Dar tunazojua.

Lastly, hata hizo zinazojengwa na makampuni nyingi tu ni za kuuza na ni wakenya ndio wanazinunua. Greenspan Estate in Donholm ni mfano tu wa nyumba zilizojengwa kwa ajili ya kuuza wala sio kupanganisha. Ukienda huko saa hii utakuta nyumba zote zimenunuliwa
 
One of a kind in east Africa, Outering Road linking various parts of the city. Cheki the environs- amazing. Show love guys
IMG_20210508_142801.jpg
IMG_20210508_142757.jpg
IMG_20210508_142806.jpg

IMG_20210508_142803.jpg
 
Hii kitu ya hawa "wafanyabiashara wadogowadogo" inahitaji some serious economic planning. Bahati mbaya bro Magu hakuwa muumini mzuri wa planning. Alikuwa tu genius kivyake akijaribu kusafisha kwanza nyumba. Hivyo yeye aliamua tu kujikita na kutengeneza enabling environment halafi kila mmoja atajijua anakula wapi! That wasn't good but wasn't very bad either.

Hawa awamu ya 4 version 2.0 ni waumini wa planning ila the bad thing ni kwamba hawana utashi wa kufanya planning. Hii siyo tu mbaya bali mbaya sana.

Ubaya ni kuwa baada ya kuwatoa hao machinga barabarani, serikali haina mahali sahihi pa kuwaweka! (Hakuna kitu kama machinga complex au market kinaweza fanya kazi).

Given udhaifu wa serikali na rushwa hili suala litaishia kuleta violence. Rejaea ilivyokuwa awamu ya 4 version 1.0.

Approach ya Magu haikuwa the best ioa with time uchumi ungefunguka na ingekuwa rahisi kupata production activities za kuwafyonza hawa watu taratibu. Japo ingechukua muda mrefu ila tatizo lingeisha naturally kama lilivyoanza hasa ikizingatiwa kuwa tatizo la ajira na uchache wa fursa (zilizofunguliwa) ndivyo vyanzo vikuu vya tatizo hili.

Nini sasa namna sahihi ya kutatua tatizo hili?

Simple:

Biashara/shughuli zote za uzalishaji zirasimishwe na zisajiliwe kwa official licence.

Mfumu huu uwe controlled. Kwa mfano, kama stendi ya Magufuli inahitaji machinga 200 kwa migawanyo tofauti tofauti (vocha, matunda, vifungashio, nk) basi leseni zitolewe hizo 200 tu mpaka itakapopangwa vinginevyo.

Biashara yafaa kuwa huria lakini idhibitiwe.

Kusajili kila biashara haimaanishi zote lazima zilipe kodi ya mapato. Unaweza kumpa machinga leseni na mashine ya kodi ya kielektroniki lakini ukampa pia msamaha wa kodi ikiwa ni inafaa.

Hapo si tu utakuwa umetatua tatizo la biashara holela bali pia utakuwa umetatua matatizo ya VAT kwani miamala yote itakuwa electronic hivyo kuweka takwimu sawa.

Serikali ije na mipango thabiti ya kuzifungua sekta zinazoajiri watu wengi; kilimo, viwanda vya nguo, viwanda vidogovidogo, utalii, sanaa na michezo, nk.

Vinginevyo kuwaondoa barabarani bila kuwapeleka mahali sahihi kutaishia tu kuleta unrests zisizoisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Well said.... Nimekupa vyema...hope system waitaifanyia kazi.
 
At the end of May, lamu port will be starting operations. Wakati huo huo kuna nchi flani naskia bado wanabishana kama wajenge au wasijenge bwagamoyo port😂😂 jamani waombeeni wanatia huruma😁😁
IMG_20210508_142614.jpg
IMG_20210508_142710.jpg
IMG_20210508_142618.jpg
 
Lakini kinachonifurahisha ni kwamba leo mnashabikia dormitories. Ule wimbo wa watanzania hawawezi ishi kwenye 'dormitories zinazofanana' imeenda wapi all of a sudden? 😂 😂 😂
If you can't beat them, you join them
Hawa watu ni wa kushangaza. Tukiwa nacho, nikibaya. Wakikipata, kinakuwa kizuri. 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Kabla hukataka kutwambia kuwa wabongo wengi hawana uwezo wa kujijengea nyumba nzuri kuliko wakenya fikiria hii fact: Nyumba nyingi Kenya (hasa mijini) hujengwa na kumilikiwa na makampuni binafsi ya real estates ilhali huku kwetu ni nyumba chache za aina hiyo. Asilimia kubwa ya nyumba hujengwa na wamiliki wenyewe. Kenyans wengi wanaoishi kwenye nyumba kali wamepanga tofauti na huku. Only a few individuals own most of your high standard residences.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kakudanganya km hayo makampuni units wanazojenga hawaziuzi
 
Alafu anafikiri watu ni wajinga. Anasema eti watu wamenunua hizo nyumba, wakazibomoa na kujenga maghorofa. Hayo maghorofa yako wapi kwenye hilo eneo? Ama ziko tu kwa akili yake?
Alafu anafikiri watu ni wajinga. Anasema eti watu wamenunua hizo nyumba, wakazibomoa na kujenga maghorofa. Hayo maghorofa yako wapi kwenye hilo eneo? Ama ziko tu kwa akili yake?
Kwahiyo hapa huoni ghorofa au hupajui kkoo wewe, si ndo hapa watu wanunua kwa mabilioni View attachment 1777518View attachment 1777523

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu anafikiri watu ni wajinga. Anasema eti watu wamenunua hizo nyumba, wakazibomoa na kujenga maghorofa. Hayo maghorofa yako wapi kwenye hilo eneo? Ama ziko tu kwa akili yake?
Si ndiyo hapa kkoo watu wananunua kwa mabilioni wanabomoa zen wanajenga km hivi kwn we hupajui kkoo wewe au sifa tu
JamiiForums1733712306.jpg
JamiiForums-361929145.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom