Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ujenzi wa Hii hospitali niliukuta 2010 wakati wa jk....lakini aukuisha takribani miaka 6...ilikuwa ni maeneo hatari sana kupitia maeneo ya hiyo hospital kwani liligeuka kuwa jumba la wazee wa ngwasuma....ukipitia tu wana wewe ...hadi naondoka 2017...ndo walianza kujenga tena.....respect JPM...ni bonge la hospital...miaka michache ijayo itakuwa miongoni mwa hospitali kubwa nchini na upande wa ukanda wa Z.victoria

Kukamilika kwa hyo kutafanya Zonal Hospital ziwe kwa ifwatavyo

Muhimbili National Hospital Dar..1800beds

Muhimbili Mloganzila Dar.650 beds

Kcmc Hospital,Moshi 700beds NB(under massive expansion to 1000 +beds)

Bugando Hospital ,Mwanza (1000 beds) currently on expansion

Benjamin Mkapa Hospital, Dodoma 450 Beds

Mbeya Zona lHospital 650beds ( on expansion to 1000beds)

Mtwara Zonal Hospital 450beds u/c

Mwalimu Nyerere Hospital l,Musoma 650 beds u/c

St Francis Morogoro (Ifakara 300+ beds

Coming soon
Tabora /Kigoma Zonal Hospital?

NB these are not regional Hospitals
 
Mbona zipo nyingi zaidi ya hizi ukiangalia private zonal hospitals pia kuna plenty of referral hospitals
Arusha Lutheran medical center
St Benedict Ndanda hospital

Pitia vizuri utaona!
 
Mzigo mpya in town,
Cladding the new baby in the City
20210508_093703.jpg
 
Haziwezi kwenda direct zina max range ya 6000km so itabidi zi refuel maeneo ya mumbai
Atcl wangeingia makubaliano na etihad zile airbus zipige route ya abu dhabi,etihad sasa hivi aifikii dar inaishia nairobi so abiria wa abu dhabi inabidi waunganishe ndege,halafu nilichogundua hata route ya tel aviv si mbaya kwetu japo kwa wiki mara 1,ina abiria wetu wengi sana ila wanapanda ethiopia airline
 
Back
Top Bottom