Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kila mtu ana mtazamo tofauti. One man's meat is another man's poison. Huenda mimi pia sivutiwi na za kwenu ila kwa macho zako zinaweza kuwa tu sawa. That's the beauty of life
Tuongee ukweli tu
 
Si ndiyo maana Dar is ahead all cities in EA as far as Estates investment is concerned.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuambia mnachofanya leo tulishafanya miaka za nyuma. Sasa inaongoza kwa lipi wakati kitu mnafanya leo sisi tulifanya mbele yenu? Gated communities Nairobi ilianza kuona kitambo sana sasa nashangaa unaongea nini
 
Mkuu umewanyoosha aisee, kwamba
JamiiForums147294101.jpg
JamiiForums662370279.jpg
JamiiForums-1750016429.jpg
JamiiForums-325985563.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini kinachonifurahisha ni kwamba leo mnashabikia dormitories. Ule wimbo wa watanzania hawawezi ishi kwenye 'dormitories zinazofanana' imeenda wapi all of a sudden?
If you can't beat them, you join them
Sasa surely do you expect how many people to reside on those flats?mostly beginners ,still tunaenjoy kujenga nyumba zetu kwakua ardhi inanunulika kiurahisi
 
Lakini kinachonifurahisha ni kwamba leo mnashabikia dormitories. Ule wimbo wa watanzania hawawezi ishi kwenye 'dormitories zinazofanana' imeenda wapi all of a sudden? 😂 😂 😂
If you can't beat them, you join them
Sio kushabikia, unaoneshwa kuwa hivyo vitu huku pia vipo na sisi sio washamba tunapenda kujenga our own dream houses rather than buying or renting those apartments, rent au prices of those properties by Tanzanian standards inakutosheleza sana kujijengea nyumba nzuri tu ndomana most of the time wanakaa foreigners, expatriates, etc
 
Nyumba mnazojijengea Dar tunazijua ndugu. Hakuna kitu kizuri hapa, ukweli usemwe tu japo ni sumu
Screenshot_20190416-183829~2.png
 
Hebu zoom utuoneshe slum hapo🤣🤣 yani mzungu haoni kuliko wewe tena unapost pic kabisa kuna paved road kabisa inside the area au ww hujui maana ya slum ??
Wewe unaamka kutoka usingizini na kitu ya kwanza unagamka ni slums. Fuatilia thread ujue ni nini kinachoongelewa
 
Wewe unaamka kutoka usingizini na kitu ya kwanza unagamka ni slums. Fuatilia thread ujue ni nini kinachoongelewa
Zoom hapo ili niamini mzungu mpumbavu hakuona slum ya dar akaona ya dunia nzima 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom