The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Kwahiyo unataka kunambia hulijui eneo lenye ghorofa nyingi EA etii wacha izo bwana watchman nicxie bhn onaa[emoji205][emoji205]Alafu anafikiri watu ni wajinga. Anasema eti watu wamenunua hizo nyumba, wakazibomoa na kujenga maghorofa. Hayo maghorofa yako wapi kwenye hilo eneo? Ama ziko tu kwa akili yake? [emoji23] [emoji23]
[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app