Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ngoja nimtag msemaji wa serikali ya Kenya a.k.a Bwana Mapesa mana kila siku anaumbuka lkn hakomi, Teargas natumai nmefanya km ulivyotaka [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums-259175472~2.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu mjadala ulianza na ile picha ya ubungu flyover mliposema zile shanties zilizopo kando ya flyover zishanunuliwa na kujengwa maghorofa maeneo yale
Kwahiyo hizo za ubungo zipo ilala [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Aliyekuingiza mkenge ni mkunya mwenzako ambaye kazi yake huwa ni kuvamia comment za watu bila kuelewa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Washamba sana. Am going to setup business in Dar under Mamas security and start making money out of their miserable ignorance.
Wewe uanzishe biashara wewe!!??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Au ndio zile 500 companies only $1.7bn, c mambo ya kihuni haya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nicxie bhn yn miaka yote humu alikuwa anajua The mighty Ubungo three level interchange ipo kkoo[emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji706][emoji706][emoji90][emoji90][emoji1664][emoji1664][emoji87][emoji87]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
For the second time bongolala, mjadala ilikuwa inahusu eneo la Ubungo flyover. Kwa jinsi ulivyo kilaza umekimbia hadi Kariakor kuleta picha angalau upate afueni!
😁😁😁 kaleta estate za mabwana zao warabu kumbe hajui kenya ndo zimejaa tele. Waombeeni waache uvivu watoke uswahilini
 
Back
Top Bottom