komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Bati la mia tano hilo ndio lije lipigiliwe katika nyumba ya $70k, hivi tena unajiskiaHiyo ni ilala,bati tu hizo zinawatisha,hapo bei ya nyumba inaanzia usd elfu 70,msilinganishe kabisa na ule uchafu wenu


Yani unafikiria utamdanganya nani kizembe hvo, emu jifikirie wewe na uache mienendo ya ki mataga mataga


