Safi sana Mkuu hapo Raha tupu.
Safi sana.Cool, only thing missing for me are trees.
Tress 🤣 🤣🤣 Edukashon, nashonCool, only thing missing for me are tress.
Watabadilika tu hata Mimi nilikuwa humu na tabia hizo hizo.Msaidie na huyu. Anajiuliza yeye na kujijibu yeye
View attachment 1777026
Mtwara Zonal Hospital 450 Beds
View attachment 1776989
View attachment 1776990
View attachment 1776991
View attachment 1776992
Mwalimu Nyerere Memorial Hospital ..Zonal Hospital Musoma 650bedsView attachment 1776993
Maiden Flight,
Nyomi la ATCL.
View attachment 1776892
View attachment 1776893
View attachment 1776894

Acha kuwa mjinga ...jana ilikuwa kikao cha wazee ilibidi kufanya hivyo kwa ajili yao sababu wako more vulnerable kuliko vijana...sasa uyo kizuu maria ndio unaona ameongea kitu








So dongo kundu ni rural hvi ww akili yako iko sawa kweli 🤣🤣🤣🤣Mnaijua kama iko town!?
Takataka zenye wivu huwa mnaaibika mapema sana na huwa hamkomiYou don't have international routes to China. Why do you like forcing things?
View attachment 1669800


Amini unachokiamini.
Yaani ATCL kuwa na international routes ya Guangzhou imekuuma kweli kweli na bado.
Hivi tukianza kuja Nairobi si utanyeesha mwezi mzima!
Tag me siku Any Time Cancellation Limited itafika China
View attachment 1669803
Alafu muache kununua ndege za mitumba
View attachment 1669811
Ana wivu wa kishamba kinoma yaani kinachomuuma ni ATCL kupewa kibali cha kwenda Guangzhou![]()
Sasa unajua zaidi kuliko watu Air Tanzania wenye wamesema kuwa hakuna ndege ya kuenda Guangzhou?
View attachment 1669818
ATCL wana kibali cha kwenda Guangzhou China ila bado hawajaanza kwenda.
Sielewi ni nini unabisha!
Wivu wa kishamba.
Kibali sio issue, issue ni kuenda huko. Kuna hata wenu moja anajua penye Guangzhou iko?
![]()
So unadhani ATCL waliomba kibali cha kwenda Guangzhou kimakosa?
Kama ATCL inaenda Mumbai India nini itazuia wasiende Guangzhou China?
Punguza wivu wa kishamba.
huyo mzee wa mwisho ndo huyu kasimama hapa kati?View attachment 1777028
kitu iko full.. na gharama yake lazima iwe kubwa zaid ya ilivyo kawaida,
Mzee ndege ipo full.Mwanzo mgumu but si haba,kitu on the to ghuangzhou
View attachment 1777036
View attachment 1777037
View attachment 1777038
Walisema tukiruka China tuwataghuyo mzee wa mwisho ndo huyu kasimama hapa kati?View attachment 1777028
kitu iko full.. na gharama yake lazima iwe kubwa zaid ya ilivyo kawaida,
Takataka zenye wivu huwa mnaaibika mapema sana na huwa hamkomi![]()





aje apa uyu propagandistHuu ni mradi upi?