Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kulingana na Mapesa eti Anytime cancelation??? Imagine Jana KQ ndio inakua anytime Cancelation while ATCL ipo on time.

IMG_7245.jpg

IMG_7242.jpg

IMG_7239.jpg
 
Mwalimu Nyerere Memorial Hospital ..Zonal Hospital Musoma 650bedsView attachment 1776993
Ujenzi wa Hii hospitali niliukuta 2010 wakati wa jk....lakini aukuisha takribani miaka 6...ilikuwa ni maeneo hatari sana kupitia maeneo ya hiyo hospital kwani liligeuka kuwa jumba la wazee wa ngwasuma....ukipitia tu wana wewe ...hadi naondoka 2017...ndo walianza kujenga tena.....respect JPM...ni bonge la hospital...miaka michache ijayo itakuwa miongoni mwa hospitali kubwa nchini na upande wa ukanda wa Z.victoria
 
Huyooo na apartment zake za upande upande

Sent using Jamii Forums mobile app
Najua hufafika Nairobi ila kukujulisha tu ni kwamba apartments ziko kila mahali Nairobi just the same way nyinyi pia mko na dream houses kila mahali Dar. Kando na mitaa za kifahari kama Karen, Muthaiga, Runda et al, apartments are everywhere you look, especially in Eastlands
 
nikiona hii miradi huwa namkumbuka sana Magu. Mungu amsaidie mama kimaono, afanye makubwa zaid ya aliyofanya Magu

hizi hospitali mbili tu tushapata beds 1100

Yeah watu wa western zone wakipata Zonal yao kubwa ya angalau 500+ beds maeneo ya Tabora au Kigoma itakuwa safi sana ilikuwa in plans i hope itajengwa soon
 
Back
Top Bottom