Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa ile hadithi ohh nye nye sisi tuna uchumi mkubwa uko wapi?? Uchumi wenyewe unahemewa na madeni na hauna nafuu alaf unazungumzia fully industrilization ww hushangai viwanda vya sukari karibia vyote kenya vimekufa na viwanda vingi tu vinapumulia mashine 😃😃😃 dunia imebadilika sio dunia ileeee mulioizoea
What do you want me to tell you,Kenya economy compared to the world is nominal in terms of Gdp. 105 B usd, is a billionaires money somewhere. Be as it may, I still insist to fully eradicate poverty industrialisation is the way.

But obviously its a bit huge in East Africa but that's for purpose of ego.
Loans are part of life,unless you are saying its wrong for GoK to take up loans
 
MY TAKE
Nangoja nione mama kama atakuwa na ujinga wa kuingilia sheria za nchi! Asithubutu!
Na mbona hawa wapuuzi toka Kenyawasiende kuvua Somalia waters?
Ni hivi waliokamatwa wakajieleze Mahakamani!
Walipe fine au vyombo vyao vipigwe mnada kama wale ng'ombe!

Wanatest waone kama Tanzania inawenyewe
 
Yaani Third world City itabaki tu kuwa Third world hata kama ukiwawekea Kitu cha maana. Nilidhani hawa wakulungwa hawana MABANDA[emoji23].

Angalia wanavyotumia Vitu vyao. [emoji23], Angalia Vitu walivyonavyo, au wanavyotumia ( MALORI) for Passengers
Yaani hilo eneo pia na Public Park(Watu wametandika kabisa kama Picnic Site[emoji23].

Advanced City gani Pedestrian hathaminiki, Anachora njia mwenyewe kama Panya [emoji23]. Kweli bado tupo nyuma.

View attachment 1776049
View attachment 1776050
View attachment 1776051
View attachment 1776052
View attachment 1776053
Umepost hzo picha lkn karoho kanakuuma jamani, msijali barabara km hyo mtaipata mwakani tu[emoji23][emoji23]
Alafu hyo ni public hao watu wote hapo wako na legal rights as long as wanajifeel wapo sawa..tusiingiliane uhuru jamani, nyie jengeni muekeze vizio vya fence na kabisa..
Tusipangiane tafadhali, hapo hakuna aliye trespass
 
Hii pia save mkuu, watu wamejenga mabanda hadi barabarani, na wanakatiza tu popote , angalia mkulungwa mwenye shati nyeupe hapo akikatiza kule.
We mataga una balaa sana, mbona wauzaji wadogo wadogo wa vibanda km hvo dar wamejazana tu..
Yani lini mtaacha unafiki
 
Yaani Third world City itabaki tu kuwa Third world hata kama ukiwawekea Kitu cha maana. Nilidhani hawa wakulungwa hawana MABANDA[emoji23].

Angalia wanavyotumia Vitu vyao. [emoji23], Angalia Vitu walivyonavyo, au wanavyotumia ( MALORI) for Passengers
Yaani hilo eneo pia na Public Park(Watu wametandika kabisa kama Picnic Site[emoji23].

Advanced City gani Pedestrian hathaminiki, Anachora njia mwenyewe kama Panya [emoji23]. Kweli bado tupo nyuma.

View attachment 1776049
View attachment 1776050
View attachment 1776051
View attachment 1776052
View attachment 1776053
Remember hiki ni kichorochoro cha Nairobi yet it looks better than Tanzanian main roads. hivi apart from Morogoro road, Kilwa road na Nelson Mandela road ni barabara gani nyengine unaweza fananisha na hii outside CBD in Dar es Salaam?
 
Nyie tutoto bana, mnatia huruma sana. Huko unakoita kukopi ndiyo kawaida ya kunogesha muziki. Na hilo halijaanza leo. Ngoja nikupe mifano; Wakongwe tu ndiyo wataelewa.
1. MC Lyte alikopi wimbo wa Michael Jackson, Liberian Girl. Lkn yeye akauita Keep on Keeping on.
2. Eve alikopi wimbo wa Lady Madonna, whose that girl na kuuita hivyo hivyo.
3. Naughty by Nature waliiga wimbo wa Michael Jackson (jina siukumbuki) lkn wenyewe wakauita OPP.
Orodha ni ndeefu kijana. Hivyo kuigana nyimbo siyo jambo la ajabu.
Tatizo dadamondi huo mfumo ndio lifestyle yake kw sasa, yani ni mwendo wa kukopi tu..
Ndio manake kiba kamlenga aliposema "stop ku copy/paste uone"[emoji23][emoji23]
MEDIOCRE
 
Kama kucopy kazi rahisi waambie wasanii wenu na wenyewe wakacopy
Aibu, aibu kama Diamond kukopi Saida Karori Nyimbo zake, Aibu tuuu kama Diamond kukopi yule MJ kwenye nyimbo zake. Eti ajaribu moon walker?? Aibu aisee!!!!!!!!! Watanzania yani hamna akili zenu lazima muige??????
 
Remember hiki ni kichorochoro cha Nairobi yet it looks better than Tanzanian main roads. hivi apart from Morogoro road, Kilwa road na Nelson Mandela road ni barabara gani nyengine unaweza fananisha na hii outside CBD in Dar es Salaam?
Watoe wapi...
Wanafiki katika kiwango cha kimataifa[emoji23][emoji23]hvyo vibanda tena vinapatikana pale ubungo, kando ya barabara yao best of the best
images.jpeg-7.jpg
139136456_15920435081681n.jpg
 
Hata ku copy pia ni kipaji[emoji23][emoji23]
Kwhyo mwacheni aendelee ku copy na nyoe msiwe mnaumia basi mnapoambiwa ana copy
Tatizo liko wapi as anapiga pesa kupitia njia hiyo acha tu acopy,na kama unaona ni kazi rahisi anza na wewe kucopy
 
Remember hiki ni kichorochoro cha Nairobi yet it looks better than Tanzanian main roads. hivi apart from Morogoro road, Kilwa road na Nelson Mandela road ni barabara gani nyengine unaweza fananisha na hii outside CBD in Dar es Salaam?

morocco mwenge road, shekilango bamaga road, ali hasan mwinyi road, mwenge tegeta road, morocco magomen road.. bado unahitaji nyingine?
 
Ziara ya Samia ni kuwafaidisha zaidi Kenya kuliko Tz.

Magufuli alishawawekea vikwazo na maisha yetu yakawa kawaida tu. Na tulishawasahau.

Nchi nzima ya Ke wamewekeza $1.7bn? Hiyo ni revenue ya Azam kwa mwaka.
Tuletee faida ya azam alafu tulinganishe na kampuni zetu tuone km watatoka
 
Back
Top Bottom