Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar vs Nairobi ni upuzi mtupu, miji yenyewe ni vitongoji duni huku Nairobi ikiongoza kwa Sluums na maskuota.

Tuzidi kushindana tu badala ya kusaidiana.
Ndo shida ya Sisi waafrika badala ya kusaidia twende mbele tunashindana Nani zaidi wakati wote bado tunasafari ndefu.
 
Ukweli upi? Kwamba nyumba kama hizi za Greenspan Donholm hazina mvuto?
View attachment 1776868View attachment 1776869View attachment 1776870
☝️ V/s 👇.. 😂😂 yani ni kulinganisha madarasa na nyumba za kuishi kweli .. .? Kenyans hamuoni aibu 😂😂
wakuu kuna nyumba mpya za polisi kule mbezi ya kunduchi kona ukitokea mbezi mtongani unakuwa unashuka chini ,,

aisee ikipatikana view ya lile eneo itakuwa bomba sana kwanza nyumba zote ni za adabuView attachment 1776896View attachment 1776898View attachment 1776899View attachment 1776900
 
Nyumba za Askari Magereza Ukonga Dar kama Dar
uk2.jpg
uk1.jpg
 
Ukweli ni kwamba hizi miradi zinawapa goosebumps kinoma. Unakumbuka kuna wakati mlikuwa mkiziita 'dormitories zinazofanana' when we used to post such here? Leo mnazishabikia
Tanzanians who comment on the Kenyan section of jamii forums are majorily FOOLS and Hypocrites.
 
Kila mtu ana mtazamo tofauti. One man's meat is another man's poison. Huenda mimi pia sivutiwi na za kwenu ila kwa macho zako zinaweza kuwa tu sawa. That's the beauty of life
Life is made of little concessions
 
Back
Top Bottom