Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahaaaa ngj niendelee kukuchokonoa huenda ukaanza kutukana mwishowe ban [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji204][emoji204][emoji86][emoji86][emoji87][emoji87][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji204][emoji204][emoji86][emoji86][emoji87][emoji87][emoji90][emoji90]View attachment 1669736
Tanzania mpya😂😂🤣🤣

images.png
images (1).png
41SJAv8TSxL._SX342_SY445_QL70_ML2_.jpg
images (10).jpeg
IMG_20210105_233753_931.JPG
 
ATCL ina kibali tayari cha kwenda Guangzhou China ila bado haijanza kwenda na ndio maana kwenye sehemu ya booking Guangzhou ipo, ila kwa sababu una wivu wa kishamba endelea kubisha.
Uko sawa kwenye ubongo wako kweli wewe?

Embu soma nilichokiandika kisha soma ulicho kiandika.
Toa ujinga hapa hakuna ndege yenu hata moja yenye inaenda China[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]

View attachment 1669797
 
Amini unachokiamini.

Yaani ATCL kuwa na international routes ya Guangzhou imekuuma kweli kweli na bado.

Hivi tukianza kuja Nairobi si utanyeesha mwezi mzima!
Tag me siku Any Time Cancellation Limited itafika China😂🤣🤣👇

IMG_20210106_005316_289.JPG



Alafu muache kununua ndege za mitumba😂😂😂

IMG_20210106_120437.jpg
 
Ana wivu wa kishamba kinoma yaani kinachomuuma ni ATCL kupewa kibali cha kwenda Guangzhou [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa unajua zaidi kuliko watu Air Tanzania wenye wamesema kuwa hakuna ndege ya kuenda Guangzhou?🤣🤣😂🤣

IMG_20210106_005316_289.JPG
 
Back
Top Bottom