Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio hiyo kitu ya maana basi[emoji23][emoji23][emoji23]. Tanzania is number one in the world[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]

View attachment 1669817
Watz wengi walikuwa wanadhani DRC ndo wachawi namba moja ukanda huu kumbe heheheheee [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]
JamiiForums-362647005.jpg
 
ATCL wana kibali cha kwenda Guangzhou China ila bado hawajaanza kwenda.

Sielewi ni nini unabisha!
Wivu wa kishamba.
Usiumize ubongo mkuu huyo anajua ukweli ila tatizo kuukubali ndo huwa anashindwa so usijisimbue kabisa, uyo niachie mm[emoji3][emoji3][emoji3]
 
ATCL wana kibali cha kwenda Guangzhou China ila bado hawajaanza kwenda.

Sielewi ni nini unabisha!
Wivu wa kishamba.
Kibali sio issue, issue ni kuenda huko😂😂🤣. Kuna hata wenu moja anajua penye Guangzhou iko?😂😂🤣
 
Mmemuona nurse Teargass alivyobinuka [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Kibali sio issue, issue ni kuenda huko[emoji23][emoji23][emoji1787]. Kuna hata wenu moja anajua penye Guangzhou iko?[emoji23][emoji23][emoji1787]
So unadhani ATCL waliomba kibali cha kwenda Guangzhou kimakosa?

Kama ATCL inaenda Mumbai India nini itazuia wasiende Guangzhou China?

Punguza wivu wa kishamba.
 
daah sio mkuu mfano mimi nlisoma tangu primary na secondary na nmeishi kua wakwanza yaani top in class zote ila kujaribu udsm wakasema lazma nifanye advance nkakataa nkaona niendelee na chuo kikuu nairobi bro ila sio wote vilaza jaman
kwel kabisa ndiyo maana huwa tunasema wenzetu elimu yao ni easy
 
So unadhani ATCL waliomba kibali cha kwenda Guangzhou kimakosa?

Kama ATCL inaenda Mumbai India nini itazuia wasiende Guangzhou China?

Punguza wivu wa kishamba.
Tag me the day your planes will land in China😂😂🤣👇👇

IMG_20210106_005316_289.JPG
 
Back
Top Bottom