Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ok. sawa unplanned settlements. Jibu moja tu, hapa ni slum?
View attachment 1775875
Hebu ona eti nyumba watu wanaishi, wall ni mabati yani ushuzi juu ya ushuzi utasema zizi la nguruwe 🤣🤣👇👇👇 binaadamu anaeza ishi kwenye banda kama hilo are even serious my friend
F25E2953-6C69-4D8E-BACD-7F8251C3D57A.jpeg
 
Ondoa upumbavu unatuletea siasa za twitter za kina kigogo za mawaziri kuongea bungeni ajira za kila budget [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hehehe!!mi naongeza we ukitaka lia[emoji23][emoji23]
Kwn hzo pucha za uongo[emoji23][emoji23]
 
Hebu ona eti nyumba watu wanaishi, wall ni mabati yani ushuzi juu ya ushuzi utasema zizi la nguruwe 🤣🤣👇👇👇 binaadamu anaeza ishi kwenye banda kama hilo are even serious my friend
View attachment 1775879
Hii pia save mkuu, watu wamejenga mabanda hadi barabarani, na wanakatiza tu popote , angalia mkulungwa mwenye shati nyeupe hapo akikatiza kule.
 
Kuna mtu sijamuelewa hapa kwenye forum, husema kwamba mzungu akisema kitu ndo hivyo basi??? Akili gani hii??? Kwani mzungu ndiye mungu wake au vipi??? Akasema hapa kuwa mzungu amesema Umoja, Donholm yani Eastlando in Nairobi ni Slum. Sawa iwe ni slum, na kama hapa ni Slum, Dar ita itwa nini??????? Maana hapa pameshinda Dar mara Ishirini.

View attachment 1775793

View attachment 1775794

View attachment 1775795

Kama nadanganya, mtu achukue muda wake akatazame zile video humu za ujenzi wa SGR Dar. Zina aerial views nzuri za kufunga mjadala.
Kwahiyo zile aerial views za sgr ndiyo Dar, yn kwamba unataka kutuambia huu uchafu ulioweka hapa ndio Nairobi? Kwahiyo Nairobi inakuwa covered with very small area like this? Kwahiyo wewe definition ya slum huijui mpk useme ile aerial view ya sgr ina slums? Mtaumizwa sn na slums but the only way kuziondoa ni kubadilisha katiba ya Kenya ili kila Mkenya awe ana uwezo wa kumiliki ardhi km huku kwetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Third world City itabaki tu kuwa Third world hata kama ukiwawekea Kitu cha maana. Nilidhani hawa wakulungwa hawana MABANDA[emoji23].

Angalia wanavyotumia Vitu vyao. [emoji23], Angalia Vitu walivyonavyo, au wanavyotumia ( MALORI) for Passengers
Yaani hilo eneo pia na Public Park(Watu wametandika kabisa kama Picnic Site[emoji23].

Advanced City gani Pedestrian hathaminiki, Anachora njia mwenyewe kama Panya [emoji23]. Kweli bado tupo nyuma.

IMG_7222.jpg

IMG_7221.jpg

IMG_7224.jpg

IMG_7223.jpg

IMG_7225.jpg
 
Liko empty coz it's under construction,,tena eti kasema Dar iko tarmacked yote😂😂😂😂😂,,Kama upanga bado kna njia za matope wapi kwingine kunaweza kuwa na tarmac
Nairobi ni ushuzi sn wallahi, yn eneo lote hilo lipo empty aisee alafu bora kungekuwa tarmacked km Dar, lkn ni dongo tu mwa mwi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aibu, aibu kama Diamond kukopi Saida Karori Nyimbo zake, Aibu tuuu kama Diamond kukopi yule MJ kwenye nyimbo zake. Eti ajaribu moon walker?? Aibu aisee!!!!!!!!! Watanzania yani hamna akili zenu lazima muige??????

Nyie tutoto bana, mnatia huruma sana. Huko unakoita kukopi ndiyo kawaida ya kunogesha muziki. Na hilo halijaanza leo. Ngoja nikupe mifano; Wakongwe tu ndiyo wataelewa.
1. MC Lyte alikopi wimbo wa Michael Jackson, Liberian Girl. Lkn yeye akauita Keep on Keeping on.
2. Eve alikopi wimbo wa Lady Madonna, whose that girl na kuuita hivyo hivyo.
3. Naughty by Nature waliiga wimbo wa Michael Jackson (jina siukumbuki) lkn wenyewe wakauita OPP.
Orodha ni ndeefu kijana. Hivyo kuigana nyimbo siyo jambo la ajabu.
 
Back
Top Bottom