Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aibu, aibu kama Diamond kukopi Saida Karori Nyimbo zake, Aibu tuuu kama Diamond kukopi yule MJ kwenye nyimbo zake. Eti ajaribu moon walker?? Aibu aisee!!!!!!!!! Watanzania yani hamna akili zenu lazima muige??????
Lakini ndio walioteka soko lenu na ndio walioua mziki wenu 🤣🤣🤣🤣 so kwa hilo nikupe pole kubwa
 
Kuna mtu sijamuelewa hapa kwenye forum, husema kwamba mzungu akisema kitu ndo hivyo basi??? Akili gani hii??? Kwani mzungu ndiye mungu wake au vipi??? Akasema hapa kuwa mzungu amesema Umoja, Donholm yani Eastlando in Nairobi ni Slum. Sawa iwe ni slum, na kama hapa ni Slum, Dar ita itwa nini??????? Maana hapa pameshinda Dar mara Ishirini.

View attachment 1775793

View attachment 1775794

View attachment 1775795

Kama nadanganya, mtu achukue muda wake akatazame zile video humu za ujenzi wa SGR Dar. Zina aerial views nzuri za kufunga mjadala.
So ww na mzungu nani anaeona zaidi yani mzungu afunge sattelite zaidi ya 500 hewani asione slum dar aone za dunia nzima ikiwemo nairobi 🤣🤣🤣🤣🤣 nilishakwambia neno slum tanzania halipo huku tuna tatizo moja tu unplanned sattlemnet lakini social service zote zipo njia zipo na accommodation zipo
 
Nairobians can now view Mt. Kilimanjaro from Nairobi along the new ICD Road in Nairobi
View attachment 1775824
Na hapa 🤣🤣👇👇👇 mlima unawatoa roho nyinyi
59041C1A-2A90-4CD9-BE52-A66370C81108.jpeg
66333BB5-1190-4973-ABFD-61E5F3FE56F9.jpeg
B2BBC31A-AEBE-4E53-A68A-0586EBFA4ECC.jpeg
 
Aibu, aibu kama Diamond kukopi Saida Karori Nyimbo zake, Aibu tuuu kama Diamond kukopi yule MJ kwenye nyimbo zake. Eti ajaribu moon walker?? Aibu aisee!!!!!!!!! Watanzania yani hamna akili zenu lazima muige??????
7.8m in just a week👇👇🤣🤣
9A22EC69-F59B-414C-8C77-0A7EEC61CA1F.jpeg
 
This place is a no mans land. I know the place, it is just on the border of Kenya and Tanzania. No one will ever disagree that the best views of Kilimanjaro are from Kenya.
According to who mama ngina or? Mlima uko tanzania na njia za kuupanda uko tanzania hvi wewe kwa akili ya kuzaliwa unafkiri best point of view utakosekana tanzania are u serious??🤣🤣🤣🤣 mlima huo unaingiza pesa nyingi zaidi kuliko national park zote za kenya combined 😁😁😁
 
So ww na mzungu nani anaeona zaidi yani mzungu afunge sattelite zaidi ya 500 hewani asione slum dar aone za dunia nzima ikiwemo nairobi 🤣🤣🤣🤣🤣 nilishakwambia neno slum tanzania halipo huku tuna tatizo moja tu unplanned sattlemnet lakini social service zote zipo njia zipo na accommodation zipo
Ok. sawa unplanned settlements. Jibu moja tu, hapa ni slum?
E0EXHu7XoAUHixn.jpg
 
Back
Top Bottom