Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So ww na mzungu nani anaeona zaidi yani mzungu afunge sattelite zaidi ya 500 hewani asione slum dar aone za dunia nzima ikiwemo nairobi 🤣🤣🤣🤣🤣 nilishakwambia neno slum tanzania halipo huku tuna tatizo moja tu unplanned sattlemnet lakini social service zote zipo njia zipo na accommodation zipo

Siyo services tu mkuu, na pia cross sectional value of properties is not uniform across the neighbourhood. Kwa mfano Manzese kuna mijengo ya hadi TZS 1 billion. Lkn ukienda mathare, despite of unpleasant neighbourhood, nyumba zote zina almost equal value. Wakati kila mtu kajijengea mwenyewe. Utafikiri walipewa specification ya full suit.
🤣🤣🤣
 
Kama huna unapita chini😂😂😂,,hii Nairobi tamu Sana,,
Nani atakua nayo wakat pesa ya kula watu hawana wengine njaa inawatafuna 😃😃😃 sana watapita politicians na matajiri wakila siku wale wakiwemo watoto na ndugu wa politician
 
Siyo services tu mkuu, na pia cross sectional value of properties is not uniform. Kwa mfano Manzese kuna mijengo ya hadi TZS 1 billion. Lkn ukienda mathare, despite of unpleasant neighbourhood, nyumba zote zina almost equal value.
Nyumba zote mabanda ya nguruwe hata hio value inatoka wapi😂😂😂
 
Mbeya city night 🇹🇿🇹🇿👇👇
DFDA34AD-F103-41A2-ACF3-C14330AADAE4.jpeg
 
Hii pia save mkuu, watu wamejenga mabanda hadi barabarani, na wanakatiza tu popote , angalia mkulungwa mwenye shati nyeupe hapo akikatiza kule.
Most people are still poor, those are small vendors. Until when the GoK can fully industrialise and create jobs, you can't see those.

You have to think about either kicking them out for beautification or looking the other way so that they can fend for their families. We have along way to go. It's not an easy decision politically
 
Sasa ile hadithi ohh nye nye sisi tuna uchumi mkubwa uko wapi?? Uchumi wenyewe unahemewa na madeni na hauna nafuu alaf unazungumzia fully industrilization ww hushangai viwanda vya sukari karibia vyote kenya vimekufa na viwanda vingi tu vinapumulia mashine 😃😃😃 dunia imebadilika sio dunia ileeee mulioizoea
 
😁😁😁😁 njooni tu bila permit na visa alaf muone sasa

MY TAKE
Nangoja nione mama kama atakuwa na ujinga wa kuingilia sheria za nchi! Asithubutu!
Na mbona hawa wapuuzi toka Kenyawasiende kuvua Somalia waters?
Ni hivi waliokamatwa wakajieleze Mahakamani!
Walipe fine au vyombo vyao vipigwe mnada kama wale ng'ombe!
 
Yaani Third world City itabaki tu kuwa Third world hata kama ukiwawekea Kitu cha maana. Nilidhani hawa wakulungwa hawana MABANDA[emoji23].

Angalia wanavyotumia Vitu vyao. [emoji23], Angalia Vitu walivyonavyo, au wanavyotumia ( MALORI) for Passengers
Yaani hilo eneo pia na Public Park(Watu wametandika kabisa kama Picnic Site[emoji23].

Advanced City gani Pedestrian hathaminiki, Anachora njia mwenyewe kama Panya [emoji23]. Kweli bado tupo nyuma.

View attachment 1776049
View attachment 1776050
View attachment 1776051
View attachment 1776052
View attachment 1776053
Nionyeshe eneo ndogo tu kama hili huko Dar slum
IMG_20210507_085219_710.jpg
 
Yaani Third world City itabaki tu kuwa Third world hata kama ukiwawekea Kitu cha maana. Nilidhani hawa wakulungwa hawana MABANDA[emoji23].

Angalia wanavyotumia Vitu vyao. [emoji23], Angalia Vitu walivyonavyo, au wanavyotumia ( MALORI) for Passengers
Yaani hilo eneo pia na Public Park(Watu wametandika kabisa kama Picnic Site[emoji23].

Advanced City gani Pedestrian hathaminiki, Anachora njia mwenyewe kama Panya [emoji23]. Kweli bado tupo nyuma.

View attachment 1776049
View attachment 1776050
View attachment 1776051
View attachment 1776052
View attachment 1776053
Mm hawa wanachoniuzi ni uchafu, yn miji yao michafu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Most people are still poor, those are small vendors. Until when the GoK can fully industrialise and create jobs, you can't see those.

You have to think about either kicking them out for beautification or looking the other way so that they can fend for their families. We have along way to go. It's not an easy decision politically

Touché, Glad you understand that.
 
Yaani Third world City itabaki tu kuwa Third world hata kama ukiwawekea Kitu cha maana. Nilidhani hawa wakulungwa hawana MABANDA[emoji23].

Angalia wanavyotumia Vitu vyao. [emoji23], Angalia Vitu walivyonavyo, au wanavyotumia ( MALORI) for Passengers
Yaani hilo eneo pia na Public Park(Watu wametandika kabisa kama Picnic Site[emoji23].

Advanced City gani Pedestrian hathaminiki, Anachora njia mwenyewe kama Panya [emoji23]. Kweli bado tupo nyuma.

View attachment 1776049
View attachment 1776050
View attachment 1776051
View attachment 1776052
View attachment 1776053
For every high end area within Nairobi there is a corresponding shantys.
The shantys provide house girls, drivers, watchmen, gardeners etc.
The wages are equally not the best house girls get something like 7k a month. So it's very hard for those fellows to rent out a 1bdr.

Its not easy to regulate minimum wages, otherwise investors will close shop an go to another country that offers cheap labour, wheeew to much I guess
 
Back
Top Bottom