Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani Kenya watakuja kutumia Rasilimali ZETU kutajirisha nchi yao alafu sisi serikal yetu inafuraia Ajira za mishahara ya laki laki yani kwenye Rasilimali ZETU tunapata asilimia 1% ya 100 alafu 99% zinaenda Kenya kwa kutupoza wanasema tukauze maind [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio rahisi kihivyo.

Alichofanya Samia ni kutuliza lile joto aliloliweka jiwe ila kiuhalisia haitakuwa rahisi hivyo.
 

huyu mbwa yani ana mambo ya kipumbavu kweli halafu mijitu mingine inafata na kuamini tu kila anachosema bila kupima kichwani, eti kisa uhuru kasema hvyo na samia nae aruhusu halafu wazee waje kuflood ajira zte hapa wazichukue wao[emoji2367], vitu kwa ground ni different kwao wao kenyans business au investors come first ubinafsi na protectionism ndomana ROSTAM na wengine wengi wameshindwa huko ila huku kwetu sisi ukarimu na uungwana wetu unatuponza wanajiachia tu mffffyuuuuuu......
This Kigogo is no longer relevant.

Magufuli ameshakufa, hakuna anaemsikiliza tena.
 
Katika hayo makampuni makubwa ni yale foreign owned ambayo subsidiary zake za Kenya zime-invest Tanzania kama EA Brew, Unilevel na many of flower firms! Hamna hata moja la kizawa la Kenya lililo na muscles ya ku-invest over $100 mln!
Wakenya wepesi sana.

Wanachojua ni kile kingereza chao cha intanashon.

Wakati wa jpm ambapo biashara zilikufa tukatengeneza mamilionea wengi kuliko wao.

Ingekuwa wakati wa jakaya, Tz ingekuwa na mamilionea mara 20 ya hao wa kenya.
 
Wakenya wepesi sana.

Wanachojua ni kile kingereza chao cha intanashon.

Wakati wa jpm ambapo biashara zilikufa tukatengeneza mamilionea wengi kuliko wao.

Ingekuwa wakati wa jakaya, Tz ingekuwa na mamilionea mara 20 ya hao wa kenya.
Mbn huo wakati wa Jakaya hatukutengeneza hao mamilionea mara 20 yao au unamuongelea Jakaya yupi mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya wepesi sana.

Wanachojua ni kile kingereza chao cha intanashon.

Wakati wa jpm ambapo biashara zilikufa tukatengeneza mamilionea wengi kuliko wao.

Ingekuwa wakati wa jakaya, Tz ingekuwa na mamilionea mara 20 ya hao wa kenya.
Edukashon, implimenteshon, milionee 🤣 🤣🤣 hicho ndicho kingereza cha wakenya.
 
Kwanini ni ngumu sana wakunya kujadili kuhusu maji safi na salama ya kunywa?

Binafsi sijawahi kuona wakunya wakifungua nyuzi zinazo husu maji humu jamiiforums [emoji23][emoji23][emoji23]

Tatizo ni nini?
Kama state house haina maji hapo hawana haja ya kufungua thread🤣🤣🤣
 
Sahivi hawana chakuonesha zaidi ya ule mradi wa mchina wa miaka 30 walioingia kichwa kichwa wakaacha mwili nje alaf kenyatta akawadanganya ni ppp 🤣🤣🤣 kumbe mchina kashapiga hesabu ya kutengeza mara 200 ya pesa alioinvest 😅😅 “no money no service “
 
Hata wanyama hawana haki ndani ya failed state, eti uncleare circumstances
 
3CA8CE8F-DBEB-46A4-B366-4B16C3740B3A.jpeg
FA494CD6-4FC3-448C-91CF-220EA70C6A99.jpeg
26714C2E-B302-404C-9084-FBAD4739F453.jpeg
 
Back
Top Bottom