Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

12000 jobs for tanzanians[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]

Hii nita edit hapa[emoji23][emoji23]nipe na details nani kasema tuongezee na kabisa
FB_IMG_16200320500593596.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] funga acc sasa unasubiri nn
Yani mzungu afunge sattelite zaidi ya 1000 hewani asione slum dar aje aone nairobi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ushuzi juu ushuzi unashangaa nyumba za tope mombasa hahahahahahahha picha hii hapa inajiongelesha hya lia sasa View attachment 1775202View attachment 1775203View attachment 1775204
Tuonyeshe tope hapo[emoji23][emoji23][emoji23]
Una zoom picha chafu unatuletea hapa
 
Saaafi uhuru. Muage mgeni.
Ila nilichogundua, kila rais tunayekuwa naye, makundi makubwa ya wakenya wanampenda. Mfano Magufuli, alipoingia tu madarakani, watu wakaandamana wakisema wanataka rais kama Magufuli nchini kenya. Pia JPM alipikufa, watu kotekote Kenya wakahuzunika sana, mpaka kuna mama mmoja toka Kenya, alienda Tanzania kwenye maombolezo.
Sasa kwa mama Samia, mahaba ndiyo yameongezeka balaa. Hata wanawake ambao aghalabu hawapendani, nao wamekuwa na hisia za kufurahia na kumpenda.
Inafurahisa sana na kupendeza.
Lkn mtazani anapompenda mkenya ni mpinzani na wala hana niya nzuri na nchi yake
 
eliakeem inaonekana unadhani Wakenya wote ni masikini wa kutupwa. Huwezi kujua maisha ya watu binafsi huku JF. Huwezi kujua nani anamiliki nini.
Cku hizi Wakenya mnajitahidi kuongea kiswahili fasaha, nimeangalia jinsi ulivyotiririka hapa nkaona sarufi kdg imekuingia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom